Manchester United (Red Devils) | Special Thread
...haya jamani, kama ingekuwa mchezo wa ngumi ningetupa taulo refa asimamishe pambano. Hongereni, na safari njema kuelekea Rome!

....Gunnerz will be Back!
 
Gunners have to sell wenger for them to come back.
Mzizi wa fitina umekatwa sasa, hakuna ubishi tena! Man oyeeeeeeeeeeeeeeee!

...sijui kama atabakia, anyway...ngoja tusubirie "Breaking News!"
 
Duh! kama naota vile. BJ, yani we acha tu. Ongereni Manu. Leo tumekubali yaishe. Safari njema kwenda Roma.

Kesho tutashuka na Baca huko Darajani.
 
Mmmmh Gulp Gulp nimeamka baada ya match matokeo ndo vile tena tumeshindwa home ground... kwa HASIRA KESHO mimi nipo BARCA... Najua shujaa wetu Henry atatunyanyua fainali... Arsenal wooooye,BARCAS/Henry Woooyeeeeeeeeeeeeeeeeeee... Blurp ZZZZzzzzzzzzz....!!!
 
Oyeeeeeeeeeeh
 
THANKS TO ALL MAN UTD FANS

manchester_united__1397170i.jpg
 
Ilikuwa game nzuri na tuliwafunika idara zote,Evra alimbana Walcott,Rio kambana Adebayor na kina Anderson,Fletcher na Carick wakamaliza pale katikati nafikiri Fergie now anaanza kutengeneza hii combination sababu kina Scholes wanategemea kustaaafu
Ile red card ya Fletcher ilikuwa totally unfair nasikitika sana jamaa atakosa fainali
SASA TUNASUBIRI FAINALI AJE BARCA AU CHELSEA ni kutoa dozi
Hongereni sana mashabiki wote wa MAN UNITED
 
Congrats to Manure fans and I pray that you Barca in the final [no malice to Chelskum]

Yesterday, the game showed how maturity is key especially in big games!!!
 
Sisi aje yeyote yule atapata dozi yake tukiingia na Barca tunawaondoa within 90 minutes na tukiingia na Blues dawa yao kuwabana hadi penati then tunawamaliza
 
Ile red card ya Fletcher ilikuwa totally unfair nasikitika sana jamaa atakosa fainali

Nadhani wahusika wataliangalia na kuibatilisha hata hivyo itategemea sana ripoti ya refa. Mimi natumaini refa atakiri kutenda kosa, hivyo Flecher anaweza kucheza final game.
 
.....Gunners have to sell wenger......

Teh teh teh!
Utani mwingine unafanana na ukweli.
Inawezekana kweli kwamba huenda Wenger akawa "Part of the Problem" kwa hawa wanafunzi kukosa vikombe kwa miaka kadhaa sasa.

Mmmmh ....tumeshindwa home ground... ...
Teh teh teh!
Kaaazi kweli kweli. Sasa kama hamuwezi kutufunga uwanja wa nyumbani mnaweza uwanja gani basi?

Nadhani wahusika wataliangalia na kuibatilisha hata hivyo itategemea sana ripoti ya refa. Mimi natumaini refa atakiri kutenda kosa, hivyo Flecher anaweza kucheza final game.

Mh!
Ni suala gumu kiaina kubatilisha kadi hii lakini, ingawa wenzetu wanajitahidi sana kukiri makosa yao!
 
Labda watu watajua kwamba Fergie hakuitwa SIR bahati mbaya..he deserves that and much more.
Red card ya Fletcher inasikitisha (especially the fact kwamba atakosa final aliyoitokea jasho)
 
Game tulikwisha imaliza after 11 minutes..hope salam zetu zimefika kwa yoyote yule atakaye ibuka kidedea Darajani!
 
Ilikuwa game nzuri na tuliwafunika idara zote,Evra alimbana Walcott,Rio kambana Adebayor na kina Anderson,Fletcher na Carick wakamaliza pale katikati nafikiri Fergie now anaanza kutengeneza hii combination sababu kina Scholes wanategemea kustaaafu
Ile red card ya Fletcher ilikuwa totally unfair nasikitika sana jamaa atakosa fainali
SASA TUNASUBIRI FAINALI AJE BARCA AU CHELSEA ni kutoa dozi
Hongereni sana mashabiki wote wa MAN UNITED

Mnajisifu kwa kumpiga risasi swala ambaye alikua anaelekea kukata roho. Lakini hongera ziende kwa Almunia na Gibbs...kweli waswahili walisema cha mgema huliwa na mlevi..Mafoward mbele wanakazana, mabeki nyuma wanaachia..lol

Of course red card ile haikuwa sawa, na trend ya kipindi cha pili ilikuwa kuibeba Arsenal. Refa alikuwa anasawazisha makosa alofanya kipindi cha kwanza kwa kutoa faulo ya goli la pili ambayo ilikuwa haina kichwa wala miguu. Baada ya pale aah, washabiki wa Imarati wakatupa bendera chini wakaanza kutambaa mmojammoja ..mwenye kukamata laga haya, mwenye kulala mapema haya..wakabakia wale diehards tu..lol
 
Sisi aje yeyote yule atapata dozi yake tukiingia na Barca tunawaondoa within 90 minutes na tukiingia na Blues dawa yao kuwabana hadi penati then tunawamaliza

Hongereni sana watu wa Man U. Hata hivyo the Blues tunawasubiri kwa hamu. Na hizo penalt hazitakuwepo kabsaaaaaaaaa. Within 90 minutes kila kitu kwisha,,, haoooo the blues wanachukua kombe. Karibu mkuu
 
Ilikuwa game nzuri na tuliwafunika idara zote,Evra alimbana Walcott,Rio kambana Adebayor na kina Anderson,Fletcher na Carick wakamaliza pale katikati nafikiri Fergie now anaanza kutengeneza hii combination sababu kina Scholes wanategemea kustaaafu
Ile red card ya Fletcher ilikuwa totally unfair nasikitika sana jamaa atakosa fainali
SASA TUNASUBIRI FAINALI AJE BARCA AU CHELSEA ni kutoa dozi
Hongereni sana mashabiki wote wa MAN UNITED

Kiukweli pale katikati walipakodisha dakika zote 90 hamna cha Fab wala Ustadh Nasri
 
Back
Top Bottom