Manchester United (Red Devils) | Special Thread
theunitedstandtv_20241202_1.jpg
 
Huyu jamaa siasa za uingereza zisipommeza atatufikisha mbali. Huwa tuna tabia ya kuongea positive tu ilimradi tumeshinda bila kujali tumeshindaje.
Pamoja na kwamba timu ime improve lakini bado tuna makosa mengi ya kimfumo na technicality ya wachezaji wetu wengi ni mtihani.

Bil shaka Amorin atahitaji madirisha mengine 2 hadi 3 kupata wachezaji wake ili acheze mpira anaoutaka.
 
Angekuwa Ole au 10Hag ni praise tupu bila kufanya masahihisho yaliyoonekana. Matokeo yake mechi inayofuata tunacheza hovyo sana hadi tunashangaa tulishindaje mechi iliyotangulia!

GGMU
 
[emoji599] BREAKING:
Kobbie Mainoo and Lisandro Martinez have BOTH been shown a yellow card vs Everton, and will now be SUSPENDED to face Arsenal. 🟨[emoji777]


Mmepata kisingizio
 
[emoji599] BREAKING:
Kobbie Mainoo and Lisandro Martinez have BOTH been shown a yellow card vs Everton, and will now be SUSPENDED to face Arsenal. 🟨[emoji777]


Mmepata kisingizio
Kikosi chetu saiv yoyote yule anaanza
 
Mnakuja emirate (geto), Tutawapiga sio chini ya 4

Na mkijifanya machizi kutaka kupishana, mtadhalilika
Kutufunga labda mpewe penalties zisizopungua 4.
Arsenyo bila ya kubebwa na marefa ni wepesi kuliko ubawa wa nzi.
Alhamisi tunawaomba sana msilikimbie jukwaa lenu ili tujadiliane vizuri.
 
Amorim is genuinely a lot better than I expected him to be, even though it's only been 3 games

He ticks EVERY box, its mental

The way he handles the media, the way he takes accountability, the way he's real with the fans, the way he protects the players but publicly criticizes them in the nicest way, the way he's had us set up with a CLEAR structure/style, his in game management/substitutions, his ability to use the entire squad

That's just a SEGMENT by the way.
 
[emoji599]BREAKING; Thomas Partey, Mikel Merino and Gabriel Maghalles are available and very fit for the action on Wednesday against Man utd at Emirates Stadium [emoji2522]
IMG-20241203-WA0001.jpg
 
Back
Top Bottom