Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbagala MarketHuyu ZIRKZE ni mweupe, mweupe sana. Mlisema kabla ya hapa alicheza wapi?
Nawashukuru sana nyumbuz, tupo pamoja sanaOnce nyumbu always nyumbu
Nataka over ya 1.5 wazee mkishindwa kuchomoa basi Omama afanye yake
Hyu kocha mlipeni hela yake arudi kule sporting alipokuwepo.....kiukweli mtamzeesha msela wa watu kabla ya muda wakeKadri siku zinavyozidi kwenda ili niwe na amani itabidi niache kutizama mpira wa timu yangu hii Man U. Kwa kweli hii siyo Machester United ni man u. Yaani wachezaji wetu ni kama vile mpira wamejifunzia mchangani na ninawasiwasi na uwezo wa ni mdogo sana pengine hata wa kiakili, yaani mchezaji hata kupiga pass hawezi, boli control hakuna, accuracy zero sijui huwa wanasajiliwa kwa vigezo vipi.
Kweli leo United tunacheza na Bournemouth sisi tunakuwa underdog? Hawa wamiliki naona hawako serious. Mchezaji kama Malacia anarukaru tu mule ndani. Huyu kocha kwa hawa wachezaji atadhalilishwa zaidi ETH, kwanza hakuwaleta yeye.
Huwezi ukawa na wachezaji wa timu kubwa ambao hawajiamini na hata chenga moja hawawezi piga. Ingepaswa January hii kocha apewa fangio afagie nyumba, hata Pep Gadiola alipokwenda City alifagia nyumba.
Hahaha adriz wewe ni uumbwaaaNawashukuru sana nyumbuz, tupo pamoja sana
Sasa kipa kafanyaje jamani....mnamuonea tuuTafuteni kipa wa kueleweka