Manchester United (Red Devils) | Special Thread
Man u inawachezaji wa kawaida sana ila pamoja na hayo hawa wachezaji hawapiganii timu sababu wameshajua wengi wao hawapo kwenye mpango wa kocha hivyo huyu kocha atafungwa sana na sijui kama kuna mechi atashinda kwakweli labda afanye maamuzi magumu asajili January hii na kuwatema baadhi ya wachezaji.
 
January si ndio hiyo ameambiwa hakuna pesa, inadaiwa hivyo.

Kocha nae sasa aache mambo yake hata kama anajenga timu afanye namna Casemiro na Erksen wawe wanaanaza, akiendelea kukariri hawa wachezaji wake kina Maino atajuta.
 
Leo ushindi nje nje. Hii ndio 1st eleven ya ukweli. GARNACHO ni mzuri sana lakini ukimuanzishia benchi na yeye anakufanyia uhuni, hapambani.
GARNACHO ukimuanzishia bench na yeye anakuoneshea ujinga wa kiwango cha juu.
 
Back
Top Bottom