Castr
JF-Expert Member
- Apr 5, 2014
- 35,012
- 70,201
Unazidi kukonda mtoto wa watuLeo ushindi nje nje. Hii ndio 1st eleven ya ukweli. GARNACHO ni mzuri sana lakini ukimuanzishia benchi na yeye anakufanyia uhuni, hapambani.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unazidi kukonda mtoto wa watuLeo ushindi nje nje. Hii ndio 1st eleven ya ukweli. GARNACHO ni mzuri sana lakini ukimuanzishia benchi na yeye anakufanyia uhuni, hapambani.
Tuendelee kusali au?Leo ushindi nje nje. Hii ndio 1st eleven ya ukweli. GARNACHO ni mzuri sana lakini ukimuanzishia benchi na yeye anakufanyia uhuni, hapambani.
Man u inawachezaji wa kawaida sana ila pamoja na hayo hawa wachezaji hawapiganii timu sababu wameshajua wengi wao hawapo kwenye mpango wa kocha hivyo huyu kocha atafungwa sana na sijui kama kuna mechi atashinda kwakweli labda afanye maamuzi magumu asajili January hii na kuwatema baadhi ya wachezaji.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Daah, kwenye page za timu zingine midomo kama mashimo ya chooKosa kubwa lililofanyika na huenda litatugharimu hata miaka 10 mbele ni mkumnyima mwarabu hii timu.
Kosa kubwa lililofanyika na huenda litatugharimu hata miaka 10 mbele ni mkumnyima mwarabu hii timu.
Huyo Maino ametengeneza chances nyingi kuliko mchezaji yeyoteKocha nae sasa aache mambo yake hata kama anajenga timu afanye namna Casemiro na Erksen wawe wanaanaza, akiendelea kukariri hawa wachezaji wake kina Maino atajuta.
GARNACHO ukimuanzishia bench na yeye anakuoneshea ujinga wa kiwango cha juu.Leo ushindi nje nje. Hii ndio 1st eleven ya ukweli. GARNACHO ni mzuri sana lakini ukimuanzishia benchi na yeye anakufanyia uhuni, hapambani.
Nilituma hii[emoji115]Pray for nyumbuView attachment 3182756