K A B U R U
JF-Expert Member
- Nov 24, 2011
- 891
- 1,199
Pray for Man UTD🥹
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unataka mwanitesa yunaited wafe kwa presha?Ili mpira unoge inabidi Isak afunge la tatu kabla ya HT
Mie kama mchezaji wa man najivu ja maana anfield m aweza kula tanoView attachment 3188940
kituo kinachofuata ni anfield
Kwan hutaki mpira umeremete zaidi 😂Unataka mwanitesa yunaited wafe kwa presha?
Huyu aliwafumani man city tuu hamna lolote...kibu denis mzuri kuliko huyu jamaaaKwan Amad hayupo? 😂
Kwa upepo wa liverpool lazima wafe nyingi.Mie kama mchezaji wa man najivu ja maana anfield m aweza kula tano
Man utd ifungwe tu huwa nafurahia mateso yao.Kwan hutaki mpira umeremete zaidi 😂
Pacome Zouzua is far better than all MU stickersNgoja niwape kibu denis awasaidie maana hamna attacking player wa maana hapa
huu utani sasa, aje kocha gani mkuu mgunda? sema bora mgunda nchi itapata pesa za kigeni kwenye kodiHuyu kocha hastaili kuinoa utd
Tangu jamaa abahatishe kwa Man City bc anaonekana kama masihi hapo matofali ya kuchoma 😂Huyu aliwafumani man city tuu hamna lolote...kibu denis mzuri kuliko huyu jamaaa
Kocha mwenye uzoefu mkubwa na timu kubwa sio makocha wanaochipukia kwenye ligi za kawaida.huu utani sasa, aje kocha gani mkuu mgunda? sema bora mgunda nchi itapata pesa za kigeni kwenye kodi
Kaka migos mnaongoza ngapi kwanIli mpira unoge inabidi Isak afunge la tatu kabla ya HT
Unawaponza wenzio.Watoto wa bwenyenye lenye mihela yake mjini Sir Jim barobaro boys wanashuka kwenda kuwashiiiika.
Manchester United inacheza leo na dunia nzima ina furaha 😁 😁 😁
My prediction
Man united 3 vs Newcastle 1
Tutapiga kama ngoma.View attachment 3188850
Aliipiga arsenal alafu man city, man utd wakaona wamepata mtu kweli kumbe hovyo kabisa. Kuna makocha hawafai hata kupewa muda na mmoja wao ni huyo bishoo.Tangu jamaa abahatishe kwa Man City bc anaonekana kama masihi hapo matofali ya kuchoma 😂