Manchester United (Red Devils) | Special Thread
[emoji23][emoji23] Zikizee maana yake ni Zee lenye ziki, sio magoli ya wazi tu, lenyewe linakosa mpaka penalties.
Lindi loaf hapo ndio unajiuliuza tokea lini Lindi wakajua kutengeneza mikate? Jitu lipo hapo Utd tokea kipindi Muumini Mwinyijuma anaachia ile nyimbo yake maarufu ya Tunda mpaka wa leo bado linategemewa na timu.
Ile Mechi tuliyo mtoa Arsenyau tulibebwa tu na uwezo binafsi wa Altay Bayındır, sasa sijui Amoxilin ana chuki gani na huyu dogo, sawa kwenye EPL asimpe namba ila hata FA pia anambania hata kwenye Sub hayupo?
Kidogo zinakurudi eeh..
 
Screenshot_20250304-111809.jpg

Next match za manyumbu ni huzuni sana mtamlaumu sana ally papi 😃😃😃
 
[emoji23][emoji23] Zikizee maana yake ni Zee lenye ziki, sio magoli ya wazi tu, lenyewe linakosa mpaka penalties.
Lindi loaf hapo ndio unajiuliuza tokea lini Lindi wakajua kutengeneza mikate? Jitu lipo hapo Utd tokea kipindi Muumini Mwinyijuma anaachia ile nyimbo yake maarufu ya Tunda mpaka wa leo bado linategemewa na timu.
Ile Mechi tuliyo mtoa Arsenyau tulibebwa tu na uwezo binafsi wa Altay Bayındır, sasa sijui Amoxilin ana chuki gani na huyu dogo, sawa kwenye EPL asimpe namba ila hata FA pia anambania hata kwenye Sub hayupo?
Wale jamaa zako na ndugu zake Zirkzee, PSV, jana tumewapa fursa ya kipekee ya kutupiga 7 au zaidi pale Emirates wiki ijayo ili watutoe kwenye UCL. Karibu ujionee vijana wako wanavyochangamkia hiyo fursa.
 
Kocha hana mpango na kuchukua kombe kasema watu mfikirie vitu vya msingi. Matokeo yake punda za humu zinaogopa hata kujichomoza
 
Back
Top Bottom