[emoji23][emoji23] Zikizee maana yake ni Zee lenye ziki, sio magoli ya wazi tu, lenyewe linakosa mpaka penalties.
Lindi loaf hapo ndio unajiuliuza tokea lini Lindi wakajua kutengeneza mikate? Jitu lipo hapo Utd tokea kipindi Muumini Mwinyijuma anaachia ile nyimbo yake maarufu ya Tunda mpaka wa leo bado linategemewa na timu.
Ile Mechi tuliyo mtoa Arsenyau tulibebwa tu na uwezo binafsi wa Altay Bayındır, sasa sijui Amoxilin ana chuki gani na huyu dogo, sawa kwenye EPL asimpe namba ila hata FA pia anambania hata kwenye Sub hayupo?