Manchester United (Red Devils) | Special Thread
Sijawahi na sitawahi kuipenda Chelsea hata siku moja
Ugonjwa wa moyo ni hapo kwenu kila kocha akija anatimuliwa

UNITED TILL I DIE

Pole sana mkuu, najua bado upo wodini; pressure bado haijashuka??

Ok mkuu mwenzangu una la kujitetea?
Manake mambo ndo vile tena kila m2 kajionea.....so?

Belo bado yupo wodini, usimcheke anahitaji kupewa pole mkuu 😀

Hodi hodi, where is Icadon?

Wote hawaonekani, maana leo humu jamvini kusingekalika, ha haaa!!
 
Kwanza Fergie alinifurahisha kwa kikosi alichopanga ,tulicheza mpira mzuri hadi wenyewe wakawa hawaamini .Tatizo ni pale Chelsea walipopewa freekick ambayo haikuwa halali kwani Fletcher alichukua mpira Cole akajijidosha still faulo ilivyopigwa Drogba akamwangusha Brown.Laikini naamini now hatuna game ngumu tena
 
Yada yada yada yada......!!!!!...Mpira uliisha ngapi ngapi vile?
 
Kwanza Fergie alinifurahisha kwa kikosi alichopanga ,tulicheza mpira mzuri hadi wenyewe wakawa hawaamini .Tatizo ni pale Chelsea walipopewa freekick ambayo haikuwa halali kwani Fletcher alichukua mpira Cole ((akajijidosha)) still faulo ilivyopigwa Drogba akamwangusha Brown.Laikini naamini now hatuna game ngumu tena

Ndugu yangu kweli uko wodini.
Coz naona hata vidole vya kuandika havina ushirikiano...
Pole mkuu mwenzangu, wanasema ukubwa jalala utapokea kila taka
 
For sure jana tulicheza ktk kiwango cha juu, despite a loss naamin tume-send msg flani kwa watu flani, am glad duru la pili wao na Liva wanakuja Theatre of Dreams, the time when each and every point will worth much more than this.

All in all credit to Blues, waliusotea sanaaa ushindi wa jana.

As i used to say Its not over till its over...The Bluuues do you copy?
 
Sijawahi na sitawahi kuipenda Chelsea hata siku moja
Ugonjwa wa moyo ni hapo kwenu kila kocha akija anatimuliwa

UNITED TILL I DIE

sasa kama Coach hana value wa nini?we want coaches who can deliver na kufukuza makocha kila wanapofanya madudu ni dalili ya kujiamini why keep retaining coaches who cannot deliver!!!!
 
Ha!ha!ha!ha!ha!ha!ha!....pole kwa kubanjuliwa wadau wote........hasa Belo........!
 
Kwanza Fergie alinifurahisha kwa kikosi alichopanga ,tulicheza mpira mzuri hadi wenyewe wakawa hawaamini .Tatizo ni pale Chelsea walipopewa freekick ambayo haikuwa halali kwani Fletcher alichukua mpira Cole akajijidosha still faulo ilivyopigwa Drogba akamwangusha Brown.Laikini naamini now hatuna game ngumu tena
Mkuu umeshasahau una game Emirates? kwa kweli jana kwa mara ya kwanza mumecheza kwa kiwango, ila bahati yenu ilikuwa mbaya.
For sure jana tulicheza ktk kiwango cha juu, despite a loss naamin tume-send msg flani kwa watu flani, am glad duru la pili wao na Liva wanakuja Theatre of Dreams, the time when each and every point will worth much more than this.

All in all credit to Blues, waliusotea sanaaa ushindi wa jana.

As i used to say Its not over till its over...The Bluuues do you copy?

Again perfomance nzuri ila jee consistency itakuwepo? jibu tutapata 21 November (Man Utd v Everton) na 28 November (Portsmouth v Man Utd) nachelea yasije yakawa kama ya L'pool, kucheza vizuri mechi na ManU zilizobaki inaboronga.
 
marefa wana chuki binafsi na SAF kwa ajili anawapa ukweli, lile goli la jana ni la kupewa kabisa
 
Mkuu umeshasahau una game Emirates? kwa kweli jana kwa mara ya kwanza mumecheza kwa kiwango, ila bahati yenu ilikuwa mbaya.

Again perfomance nzuri ila jee consistency itakuwepo? jibu tutapata 21 November (Man Utd v Everton) na 28 November (Portsmouth v Man Utd) nachelea yasije yakawa kama ya L'pool, kucheza vizuri mechi na ManU zilizobaki inaboronga.

So far so gud sijaona wakutupa HEADACHE katika ku-retain title zaidi ya Chelski!!, no body else!!
 
Manda hata hao Chelsea hawana kiwango cha kutisha sana ,kwa perfomance yao ya juzi bahati na refa walikuwa upande wao
 
Sijui kwa nini kila mara Fletcher ana bahati mbaya na marefa
Unakumbuka ile red card alipewa dhidi ya Arsenal akakosa final,then last week alichezewa rafu ndani ya box refa akagoma kutoa penati ,na juzi tena kachukua mpira dhidi ya ACole refa akawapa faulo na wakafunga goli
 
So far so gud sijaona wakutupa HEADACHE katika ku-retain title zaidi ya Chelski!!, no body else!!

Tumeyazowea haya maneno, tunasubiri Mei, mimi nikiaangalia sioni ManU kama inatisha wala kunipa headache, ukiachilia mechi yenu na Chelsea mechi nyengine zote mumeonekana average tu, kidogo ukinambia Chelsea wananipa mashaka lakini kwa Utd mwaka huu hamna upinzani wa kutisha, I say again, we're waiting for ManU @ Emirates on 31st January, angalia sisi tutakavyocheza na Chelsea tarehe 29 mkuu. Wakati wetu wa kuvuna umewadia, vijana wamepikwa for the last 4 seasons na matokeo tunayaona uwanjani. The football you will witness this season from this Arsenal team is above any Premiership team standard! Just sit back, relax and enjoy total football! Utakuja kuniambia.
 
sasa kama Coach hana value wa nini?we want coaches who can deliver na kufukuza makocha kila wanapofanya madudu ni dalili ya kujiamini why keep retaining coaches who cannot deliver!!!!

Unamzungumzia Benitez au Wenger? I so hope sio Ferguson. Tafadhali fafanua.
 
He is not the best goalkeeper anyway!!! Ila naona wachezaji wamekuwa kama mabibi, badala ya kuongeza juhudi wao wanalialia na kutingisha viberiti
I can see why? Kila mchezaji ndoto yake ni kucheza kombe la dunia, Ben atakuwa na miaka 27 mwakani, na hii huenda ikawa ni nafasi yake pekee kucheza kwenye kombe la dunia, Capello ameshasema atachagua wachezaji wanaocheza regular, Ben anajuwa kama anataka kutimiza ndoto yake itabidi ahame timu January, ndio unaona ameanza kufungua duka. Kila la kheri Ben!
 
Back
Top Bottom