Rev. Kishoka
JF-Expert Member
- Mar 7, 2006
- 4,526
- 1,540
Hodi hodi, where is Icadon?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sijawahi na sitawahi kuipenda Chelsea hata siku moja
Ugonjwa wa moyo ni hapo kwenu kila kocha akija anatimuliwa
UNITED TILL I DIE
Ok mkuu mwenzangu una la kujitetea?
Manake mambo ndo vile tena kila m2 kajionea.....so?
Hodi hodi, where is Icadon?
Kwanza Fergie alinifurahisha kwa kikosi alichopanga ,tulicheza mpira mzuri hadi wenyewe wakawa hawaamini .Tatizo ni pale Chelsea walipopewa freekick ambayo haikuwa halali kwani Fletcher alichukua mpira Cole akajijidosha still faulo ilivyopigwa Drogba akamwangusha Brown.Laikini naamini now hatuna game ngumu tena
Kwanza Fergie alinifurahisha kwa kikosi alichopanga ,tulicheza mpira mzuri hadi wenyewe wakawa hawaamini .Tatizo ni pale Chelsea walipopewa freekick ambayo haikuwa halali kwani Fletcher alichukua mpira Cole ((akajijidosha)) still faulo ilivyopigwa Drogba akamwangusha Brown.Laikini naamini now hatuna game ngumu tena
As i used to say Its not over till its over...The Bluuues do you copy?
Sijawahi na sitawahi kuipenda Chelsea hata siku moja
Ugonjwa wa moyo ni hapo kwenu kila kocha akija anatimuliwa
UNITED TILL I DIE
Mkuu umeshasahau una game Emirates? kwa kweli jana kwa mara ya kwanza mumecheza kwa kiwango, ila bahati yenu ilikuwa mbaya.Kwanza Fergie alinifurahisha kwa kikosi alichopanga ,tulicheza mpira mzuri hadi wenyewe wakawa hawaamini .Tatizo ni pale Chelsea walipopewa freekick ambayo haikuwa halali kwani Fletcher alichukua mpira Cole akajijidosha still faulo ilivyopigwa Drogba akamwangusha Brown.Laikini naamini now hatuna game ngumu tena
For sure jana tulicheza ktk kiwango cha juu, despite a loss naamin tume-send msg flani kwa watu flani, am glad duru la pili wao na Liva wanakuja Theatre of Dreams, the time when each and every point will worth much more than this.
All in all credit to Blues, waliusotea sanaaa ushindi wa jana.
As i used to say Its not over till its over...The Bluuues do you copy?
Mtalialia sana mwaka huu!marefa wana chuki binafsi na SAF kwa ajili anawapa ukweli, lile goli la jana ni la kupewa kabisa
Mkuu umeshasahau una game Emirates? kwa kweli jana kwa mara ya kwanza mumecheza kwa kiwango, ila bahati yenu ilikuwa mbaya.
Again perfomance nzuri ila jee consistency itakuwepo? jibu tutapata 21 November (Man Utd v Everton) na 28 November (Portsmouth v Man Utd) nachelea yasije yakawa kama ya L'pool, kucheza vizuri mechi na ManU zilizobaki inaboronga.
So far so gud sijaona wakutupa HEADACHE katika ku-retain title zaidi ya Chelski!!, no body else!!
sasa kama Coach hana value wa nini?we want coaches who can deliver na kufukuza makocha kila wanapofanya madudu ni dalili ya kujiamini why keep retaining coaches who cannot deliver!!!!
Huyu naye anatingisha kiberiti
http://www.thesun.co.uk/sol/homepage/sport/football/2730939/Foster-I-may-have-to-quit-Utd.html
Huyu naye anatingisha kiberiti
http://www.thesun.co.uk/sol/homepage/sport/football/2730939/Foster-I-may-have-to-quit-Utd.html
I can see why? Kila mchezaji ndoto yake ni kucheza kombe la dunia, Ben atakuwa na miaka 27 mwakani, na hii huenda ikawa ni nafasi yake pekee kucheza kwenye kombe la dunia, Capello ameshasema atachagua wachezaji wanaocheza regular, Ben anajuwa kama anataka kutimiza ndoto yake itabidi ahame timu January, ndio unaona ameanza kufungua duka. Kila la kheri Ben!He is not the best goalkeeper anyway!!! Ila naona wachezaji wamekuwa kama mabibi, badala ya kuongeza juhudi wao wanalialia na kutingisha viberiti