Manchester United (Red Devils) | Special Thread
I can see why? Kila mchezaji ndoto yake ni kucheza kombe la dunia, Ben atakuwa na miaka 27 mwakani, na hii huenda ikawa ni nafasi yake pekee kucheza kwenye kombe la dunia, Capello ameshasema atachagua wachezaji wanaocheza regular, Ben anajuwa kama anataka kutimiza ndoto yake itabidi ahame timu January, ndio unaona ameanza kufungua duka. Kila la kheri Ben!

Kumbuka kadri umri unavyokwenda ndio makipa wengi wanakua bora zaidi. Huyu Ben ni mmoja wa wachezaji ambao wakiondoka Man Utd kichwa hakitoniuma.
 
I can see why? Kila mchezaji ndoto yake ni kucheza kombe la dunia, Ben atakuwa na miaka 27 mwakani, na hii huenda ikawa ni nafasi yake pekee kucheza kwenye kombe la dunia, Capello ameshasema atachagua wachezaji wanaocheza regular, Ben anajuwa kama anataka kutimiza ndoto yake itabidi ahame timu January, ndio unaona ameanza kufungua duka. Kila la kheri Ben!
Huyu naye mbabaishaji ,alipata nafasi akashindwa kutumia kila siku anafungwa magoli ya kijinga.Hao ndio wachezaji Roy Keane alikuwa anawaponda ,atafute timu mapema ManU hapawezi
 
SPURS are lining up a £6million New Year bid for England keeper Ben Foster.
The Manchester United star admits he may have to quit Old Trafford after slipping to No 3 in the pecking order.

And Tottenham boss Harry Redknapp is in the market for a new keeper after Carlo Cudicini was seriously injured in a bike accident last week.

Foster fears he will not be in England's World Cup squad next year unless he is playing regular first-team football in the Premier League.

Foster, 26, was picked to start Saturday's 1-0 defeat by Brazil. But he admitted: "It's very disheartening not even being on the bench at United.

"I'm third choice for United yet playing for my country. It's a weird one and I'll see what happens."

Foster is reluctant to give up on his United dream.

However, after four years on the Old Trafford books, he fears he will never be Alex Ferguson's first choice.

He spent two years on loan with Watford immediately after signing from Stoke City in a £1million deal.

He then missed another year with a cruciate ligament injury.

But now he believes he needs regular Premier League football and would welcome the chance to establish himself at White Hart Lane.

Cudicini is unlikely to play again this season after fracturing both wrists and his pelvis last Thursday.

Now Redknapp is looking to sign an established goalkeeper to put pressure on unpredictable Brazilian Heurelho Gomes as Spurs bid to qualify for a Champions League place next season.



Read more: http://www.thesun.co.uk/sol/homepag...-England-keeper-Ben-Foster.html#ixzz0X7RcRhJg
 
If you are a real 'devil' you ganna love this!...

Glory, glory, Man United,
Glory, glory, Man United,
Glory, glory, Man United,
And the reds go marching on, on, on.
Just like the Busby Babes in Days gone by
We'll keep the Red Flags flying high
You've got to see yourself from far and wide
You've got to hear the masses sing with pride
United! Man United!
We're the boys in Red and we're on our way to Wem-ber-ly
Wem-ber-ly! Wem-ber-ly!
We're the famous Man United and we're going to Wem-ber-ly
Wem-ber-ly! Wem-ber-ly!
We're the famous Man United and we're going to Wem-ber-ly
In Seventy-Seven it was Docherty
Atkinson will make it Eighty-Three
And everyone will know just who we are
They'll be singing 'Que Sera Sera'
United! Man United!
We're the boys in Red and we're on our way to Wem-ber-ly
Wem-ber-ly! Wem-ber-ly!
 
Hivi Rooney anaendelea kupata chakula ya usiku licha ya mke wake kuwa na mtoto mchanga? yaani angekuwa hajatoka kupata ile kitu saa hizi tungekuwa na goli 3 siyo hili moja. Anyway ball lina siku na siku.
 
Tayari wamekwisha hao, cha muhimu ni ku-keep clean sheet
 
Wazee hatimaye leo wameamka.....hongereni ManU

defence bado ni mbovu ManU Vidic anahitaji msaada wa mtu wa nguvu kazi zaidi
 
Darren-Fletcher-Manchester-United-Everton-Pre_2387616.jpg

 
Back
Top Bottom