Mandela halisi aliuwawa na makaburu huyu ni feki


acha kuwapotosha watu angalia kwenye red hapo


 
...mmmh!...maneno iko mingi saaana...hivi kumbe mtu unayemwona kuna uwezekano mkubwa akawa sio yule unayemtazama!!??...
 

Ndugu yanguwe,wanaume ni wale wale hata kama ni Mandela! Kama Winnie ndiye angekuwa mfungwa Huyo babu angemsubiri? si angeoa kabisa! si afadhari Winnie alikuwa anaiba, kitu kinachofanywa hata na watu walio kwenye ndoa hai bila mtu hata kuwa safari.
Kama alijua kusamehe na ku reconcile alishindwa nini hapo? basi tu kamba hukatikia pabovu, alikuwa anatafuta sababu ya kumwoa Graca.

Nani ana bisha???
 
Kama watu wanabadilisha jinsia ya uume kua ya kike ije iwe sauti upo dunia ya 7 nini
 
Umenikumbusha Landlord wangu wa zamani Anaitwa Konkod baharia mstaafu hapo maeneo ya kijitonyama karibu na Grand Villa hotel alikuwa na tabia ukiwa unalipa kodi anataka na namba za mke/mume kama hujaoa Gf/Bf wako aziandike kwenye diary ni lazima! Sasa ikitokea siku umefanya Double allocation lazima atengeneze bomu anampigie jamaa aje la sivyo umnunulie pombe!pombe yenyewe anamix Penaso na Banana basi analewa siku 3 kikweli he was fun!
Aliuza nyumba akahamia mwananyamala akawa na wapangaji kama 7 hivi mmojawapo Ben kinyaiya alikuja pewa notice kisa eti mtoto wake wa kiume ameanza kupaka carolite anamuiga Beny hivyo sio role model mzuri kwa mwanae.
Wenye nyumba wana hilaa.
 
Acha hiyo maneno mbovumbovu
Miaka yote leo ndiyo wanasema haya ?

Acha upandikizi wako Mkuu mleta mada.

Mtu akifariki ndo mambo yake mengi ya siri hujulikana alichoandika huyu jamaa kinaweza kikawa kweli haswa hili suala la kutokulala na Winnie baada ya kutoka gerezani. Lakini tusisahau kuwa kadri umri wa binadamu unavyoongezeka ndo busara huwa kubwa, labda yule arrogant Mandela wa 1962 alibadilika baada ya kifungo kirefu na umri kuwa mkubwa. Hata hapa Tanzania Nyerere yule wa miaka ya 1960s ukisikiliza hotuba zake na ushauri na misimamo yake ni tofauti na yule wa miaka ya 1990s
 
Mkuu SLAA ANAWEZA naona leo umeamua kuja na mada yenye akili, vipi hapo mbozi wazima?

Back to topic:
Nakuunga mkono kwa 100% kuwa huyu ni Mandela feki na si yule tuliyemfahamu hapo mwanzo kupitia maandishi na vitabu vya kihistoria.

Mandela ulimjulia wapi wewe mkaazi wa Mbwinde,Punguzeni porojo zenu za vilingeni!
 

Sina proof ya kuuunga mkono au kukupinga kati ya hayo uliyoyasema; siyo kuhusu wanaume kwa ujumla wao bali kuhusu Mzee Madiba...

Ila ninalojua kuwa reunion ya couples ambazo zimetenganishwa kwa muda mrefu ni jambo gumu sana. Ni mtihani wa aina yake!

Hata hivyo, mimi nasikitika kwa sababu ninegefurahi kama wangeweza kuishi pamoja kwani walipambana pamoja.

Mambo ya kuibiana sitaki kuyaongelea kwa sasa, kwani hawa jamaa walipitia maisha magumu sana!

Babu DC!!
 

hiyo makitu nilikunywa siku moja nilivobadili daladala ya tabata kwenda ya feri sikuwa najuwa; nilivoshuka feri sikuwa najuwa, nilivoingia kwenye pantoni sikuwa najuwa. nilijitambuwa baada ya kufika kigambonino baada ya kupigwa na upepo wa bahari.
 
acha kuwapotosha watu angalia kwenye red hapo



Pia nasikia alikuwa na alama kwenye mguu alipoumizwa wakati wanacheza na wenzake mchezo wa kuchapana fimbo...

Hizi hadithi nyingine hata huwezi kujua kama zinatungwa na binadamu...
 

wewe sasa ndio umenichanganya kabisa ... yani baada ya kufuata misemo yako hapo juu nimejikuta sasa hata huyo aliyefungwa sio mwenyewe.

Bora nisichukue lolote toka kwy uzi huu nibakie na kile nilichokikuta toka kwy historia.
 
Maneno ya mtaani ndo chimbuko la facts ijapo siwezi kuyaamini haya ila kila kitu kinawezekana na hata hizi sifa za wazungu kwa Mandera kimsingi zinaniacha inspired kutaka kujua zaidi

Ipo siku ukweli utadhihiri wenyewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…