sir mushi
Senior Member
- May 26, 2013
- 143
- 52
Naweza hata mimi kukubaliana na wewe. Tatizo ni hilo jina lako tu,
mh! kaazii kwelikweliii
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naweza hata mimi kukubaliana na wewe. Tatizo ni hilo jina lako tu,
Maneno ya mtaani ndo chimbuko la facts ijapo siwezi kuyaamini haya ila kila kitu kinawezekana na hata hizi sifa za wazungu kwa Mandera kimsingi zinaniacha inspired kutaka kujua zaidi
Ipo siku ukweli utadhihiri wenyewe.
Kuna familia ya kitanzania iliyohifadhi mabuti ya mandela kwa miaka 30 na iliwasilisha kwa mandela mzee na vilimtosha!
kijana acha kunywa viromba. ni hatari. onaulivyokurupuka
acha kuwapotosha watu angalia kwenye red hapo
![]()
Inavyosemekana katika mitaa ya weusi waliokata tamaa pale SA, wanaamini mandela halisi alishafia jela (walimuua kwa siri) na makaburu wakatafuta mtu aliye shabihiana naye waka mtrain kwa kipindi kirefu kumwakilisha mandela halisi! wanachodai ni. ...pointi kubwa juu ya dai hili ni 1/.kuwa kunatofauti kubwa ya kifalsafa kati ya mandela aliyeingia gerezani na mandela aliyetoka gerezani. 2/.Mandela aliyetoka gerezani alifika kijijini kwao mara chache sana, ila hakuweza kupaform baadhi ya ceremonial rituals. 3/. Hakuweza kukutana kimwili na mke wake winnie ambaye angeweza kugundua tofauti za mwilini, na mazingira yalishaandaliwa yaliyopelekea kuvunjika kwa uhusiano huo! 4/ mateso ya jela za makaburu hasa kwa wapigania uhuru kama mandela na Salomon malhangu, ni vigumu kutoka jela na kuwa na afya na uwezo wakuishi na kufikia umri aliofikia 'mzee madiba'! wengi waliuwawa jela 5/. ANC ya mandela aliyetoka gerezani haikuwa na mwelekeo wa ukombozi wa weusi .............
Mtu akifariki ndo mambo yake mengi ya siri hujulikana alichoandika huyu jamaa kinaweza kikawa kweli haswa hili suala la kutokulala na Winnie baada ya kutoka gerezani. Lakini tusisahau kuwa kadri umri wa binadamu unavyoongezeka ndo busara huwa kubwa, labda yule arrogant Mandela wa 1962 alibadilika baada ya kifungo kirefu na umri kuwa mkubwa. Hata hapa Tanzania Nyerere yule wa miaka ya 1960s ukisikiliza hotuba zake na ushauri na misimamo yake ni tofauti na yule wa miaka ya 1990s
Jina lina shida gani? ama ndo linalowafanya mshindwe kulala
Naweza hata mimi kukubaliana na wewe. Tatizo ni hilo jina lako tu,
Haya ndio matatizo ya kunywa double punch mchana ona sasa mada unazoleta