The Burning Spear
JF-Expert Member
- Dec 23, 2011
- 4,118
- 9,864
Nafikiri ni Yule Yule aliyejenga ya shinyanga to mabukiHata yule wa Tinde to Isaka
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nafikiri ni Yule Yule aliyejenga ya shinyanga to mabukiHata yule wa Tinde to Isaka
Sio kweli . Hiyo barabara rais Magufuli aliizindua 2018.Mkuu kina muda sana
Ilikuwa kampuni kutoka South Africa nadhani,waliijenga miaka ya 2002-2005 Kama sikoseiHata yule wa Tinde to Isaka
Mmachinga anatumika na mwanasiasa kutafuta kura tu.Tuombe Mungu milele na milele wamachinga wasiivamie, maana hawa watu wana nguvu kwa wanasiasa balaa
Hii naikumbuka sijaisikia siku nyingi sana naona wamehama tukuna kampuni ya kijapani KONOIKE, sijui bado ipo?! wako vizuri sana. nawakumbuka miaka ya 80, barabara ya Dar - Arusha
Kosa ni moja kuacha mifereji wazi ni uzemba na kuto Jari usalama wa watumiaji. Kama inachwa wazi basi waweke fence kwa ya usalama.
Walijenga Selander bridge mpya?Naam, wakajenga pia na Selander bridge jipya.
Yupo sahihi,Punguza bange mzee
Hapana, Konoike alijenga Mapipa to Ubungo.Kuna Konoike pia. Hawa kama sijakosea walijenga barabara ya Sam Nujoma na ya Bagamoyo.
Kachanganya madesa, picha ni Sam Nujoma Road...Inapendeza sana
Kachanganya madesa, picha ni Sam Nujoma Road...
Yes;umenikumbusha mbali hata ilikuwa inaitwaga Barabara ya Mowlem.Kitambo sanaHii ngoma kama nakumbuka vizuri originally ni Mowlem, UK.
Nzuri sana hii chalinze - moro.Ila ilijengwa muda mrefu sana aisee,miaka mingi tulikuwa tunapita diversionsIko Vema Sana Kuna Maeneo Mengi
Hudhani au una hakika?Walijenga Selander bridge mpya?
Sidhani sio kweli! Na walijenga baada ya Fire to Mapipa? Sidhani,
Ingawa sijui aliyejenga lakini nimeishi Upanga karibu na Tambaza mwaka 1984 to 1988, hilo daraja jipya la Selander lilikuwepo,
Nimeishi Fire 1988 to 1994 , Kajima ndio wanajenga hicho kipande cha Fire -Mapipa.
Na ndio mwanzo wa kuona zile Tiper zao aina ya Fuso, au kiujumla FUSO ndio ilianza kujulikana hapo , zilikuwa na nguvu balaa , kabla ya hapo tiper zetu zilikuwa ni Isuzu na bed ford.
Hilo jina wanalijua watu fulani wa umri fulani tu.Yes;umenikumbusha mbali hata ilikuwa inaitwaga Barabara ya Mowlem.Kitambo sana