Mandela Road: Barabara iliojengwa kwa viwango stahiki

Mandela Road: Barabara iliojengwa kwa viwango stahiki

kuna kampuni ya kijapani KONOIKE, sijui bado ipo?! wako vizuri sana. nawakumbuka miaka ya 80, barabara ya Dar - Arusha
 
Rekebisha hapo mkuu hiyo sio mandela road.

Ama lah ungesema tu kipande cha kutoka A to B ingeeleweka pia.

Na hiyo barabara yanapita sana magari madogo na daladala, na kwa sasa hapo hamna foleni kali.

Ila ni barabara nzuri sana na hata hii mandela road yenyewe nayo inajitahidi pamoja na ukubwa na ndinga zenye mizigo heavy.
 
Kosa ni moja kuacha mifereji wazi ni uzemba na kuto Jari usalama wa watumiaji. Kama inachwa wazi basi waweke fence kwa ya usalama.

Nakubaliana na wewe barabara za mjini muhimu zifunikwe mifereji. Pamoja na swala la usalama ikifunikwa inazuia uchafu, mchanga, ma makololo mengine kuishia humo na kuzuia maji kutembea vizuri. Pia inapendezesha eneo.
20220627_122524.jpg
 
Naam, wakajenga pia na Selander bridge jipya.
Walijenga Selander bridge mpya?
Sidhani sio kweli! Na walijenga baada ya Fire to Mapipa? Sidhani,

Ingawa sijui aliyejenga lakini nimeishi Upanga karibu na Tambaza mwaka 1984 to 1988, hilo daraja jipya la Selander lilikuwepo,

Nimeishi Fire 1988 to 1994 , Kajima ndio wanajenga hicho kipande cha Fire -Mapipa.

Na ndio mwanzo wa kuona zile Tiper zao aina ya Fuso, au kiujumla FUSO ndio ilianza kujulikana hapo , zilikuwa na nguvu balaa , kabla ya hapo tiper zetu zilikuwa ni Isuzu na bed ford.
 
Punguza bange mzee
Yupo sahihi,
Barabara kutoka ubungo to kimara ,kabla ya kuipanua kuweka njia ya Mwendokasi imeua sana watu pale maeneo ya msewe ,

Gari zimetumbukia sana kwenye yale mamitaro yao yaliyo wazi.
 
Walijenga Selander bridge mpya?
Sidhani sio kweli! Na walijenga baada ya Fire to Mapipa? Sidhani,

Ingawa sijui aliyejenga lakini nimeishi Upanga karibu na Tambaza mwaka 1984 to 1988, hilo daraja jipya la Selander lilikuwepo,

Nimeishi Fire 1988 to 1994 , Kajima ndio wanajenga hicho kipande cha Fire -Mapipa.

Na ndio mwanzo wa kuona zile Tiper zao aina ya Fuso, au kiujumla FUSO ndio ilianza kujulikana hapo , zilikuwa na nguvu balaa , kabla ya hapo tiper zetu zilikuwa ni Isuzu na bed ford.
Hudhani au una hakika?

"Baada ya Fire to Mapipa" maana yake nini? Mpaka Morogoro? This is so vague it is meaningless.

KAJIMA walijenga daraja la Morogoro Road hapo Jangwani na kipande kati ya Fire na Magomeni. Watu wakapenda sana ujenzi wao Waziri Mkuu mpya wakati huo Salim Ahmed Salim (mara baada ya kifo cha Edward M. Sokoine) akatangaza kuzindua daraja lililojengwa na KAJIMA la Selander. Nafikiri hii ilikuwa around 1984.

Ninapoongelea daraja jipya la Selander siongelei daraja la Tanzanite. Selander kuna madaraja mawili, kuna Selander la zamani lililojengwa mwaka 1929, ambalo linatumika na watembea kwa miguu siku hizi, na kuna Selander jipya linalotumika na magari sasa Ali Hassan Mwinyi Road lililojengwa enzi za Nyerere.

Hilo daraja lililojengwa na Magufuli mimi siliiti Selander, hilo linaitwa Tanzanite.
 
Back
Top Bottom