Mandonga atoroka Songea usiku wa manane, inadaiwa kadandia roli la sementi, tumuombee afike salama mtu kazi

Mandonga atoroka Songea usiku wa manane, inadaiwa kadandia roli la sementi, tumuombee afike salama mtu kazi

dmkali

JF-Expert Member
Joined
Nov 17, 2014
Posts
11,793
Reaction score
22,552
Inasemekana baada ya pambano hakurudi hata hotelini; ameondoka usiku mnene bila kuaga.

Anasema uchawi umehusika alikuwa anaona mishale tu badala ya ngumi ndiyo maana kapigwa.

Anaamini yeye bado ni bondia hatari sana mtu kazi! Kaomba apangiwe pambano na dulla mbabe.
 
Inasemekana baadaa ya pambano hakurudi hata hotelini; ameondoka usiku mnene bila kuaga!
Anasema uchawi umehusika alikuwa anaona mishale tu badala ndiyo maana kapigwa!

Anaamini yeye bado ni bondia hatari sana mtu kazi! Kaomba apangiwe pambano na dulla mbabe!
Anaamini yeye bado ni bondia hatari sana mtu kazi! Kaomba apangiwe pambano na dulla mbabe![emoji23]
 
Anaamini yeye bado ni bondia hatari sana mtu kazi! Kaomba apangiwe pambano na dulla mbabe!
emoji23.png
View attachment 2309760

Jamaa ni promota mzuri sana..binafs nimempendia hicho..ila sio proffisional boxer..umri umeenda sana..ni hatar sana kwa afya yake
Kabisa
 
Huyu jamaa awe makini inaonekana hayupo vizuri kwenye hayo masuala ya masumbwi, akikaa vibaya anaweza kukata moto ulingoni tukaishia kusema tu RIP
 
Sio vizuri Mandonga kuendelea na boxing, jana niliona dalili za Mandonga kupoteza maisha.

Waliokaribu nae wamshauri, kama anapenda ngumi afungue hata kijiwe awe anafundisha watoto wadogo just for fun.

Yeye hana pumzi wala nguvu za kupigana japo anaupenda mchezo wa ngumi
 
Mandonga mtu kazi anamtaka mbabe, kasema hataki uchawi kwenye masumbwi!
Anataka nyama nyama, ngumi jiwe!
Mada Maugo alikuwa mpinzani kwelikweli wa Fransis Cheka, kuna wakati aliomba game irudiwe akiamini Cheka alibebwa na refa kwa mchezo wa awali. Mtanange ukarudiwa na Maugo akapoteza tena, hata hivyo alijisifu kwa kuweza kupambana kiume licha ya kupoteza mchezo huku akimshtumu Cheka kuwa ilitumia nguvu za uchawi. Maugo anasema kuanzia azaliwe hawuwahi kukutana na ngumi nzito kama zile, alisema ni aheri upigwe mawe ila siyo zile ngumi.
 
Tumshauri tu aachane na ngumi maana anaweza kufia ulingoni, ngumi zina wenyewe
 
Mkwara wa mandoga unaweza kukodi boda kuukimbia! Anamkwara hata wadeni wake wa pesa wanamjua!
Mtu mmoja anasimulia aliwahi kudaiwa na mandonga alikuwa akipigia simu za mikwara hadi anatamani kuhama nchi!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom