Mkwara wa mandoga unaweza kukodi boda kuukimbia! Anamkwara hata wadeni wake wa pesa wanamjua!Mandonga mtu kazi mikwara yake haina tofauti na sera za ccm
Anaamini yeye bado ni bondia hatari sana mtu kazi! Kaomba apangiwe pambano na dulla mbabe![emoji23]Inasemekana baadaa ya pambano hakurudi hata hotelini; ameondoka usiku mnene bila kuaga!
Anasema uchawi umehusika alikuwa anaona mishale tu badala ndiyo maana kapigwa!
Anaamini yeye bado ni bondia hatari sana mtu kazi! Kaomba apangiwe pambano na dulla mbabe!
Mandonga mtu kazi anamtaka mbabe, kasema hataki uchawi kwenye masumbwi!Eti Dulla Mbabe,kwasasa ingependeza kama angetafuta mpinzani dhaifu ili aweke takwimu zake sawa
Anaamini yeye bado ni bondia hatari sana mtu kazi! Kaomba apangiwe pambano na dulla mbabe!View attachment 2309760
KabisaJamaa ni promota mzuri sana..binafs nimempendia hicho..ila sio proffisional boxer..umri umeenda sana..ni hatar sana kwa afya yake
Unaweza kukuta nae anaukaliaAnaamini yeye bado ni bondia hatari sana mtu kazi! Kaomba apangiwe pambano na dulla mbabe![emoji23]View attachment 2309760
Mada Maugo alikuwa mpinzani kwelikweli wa Fransis Cheka, kuna wakati aliomba game irudiwe akiamini Cheka alibebwa na refa kwa mchezo wa awali. Mtanange ukarudiwa na Maugo akapoteza tena, hata hivyo alijisifu kwa kuweza kupambana kiume licha ya kupoteza mchezo huku akimshtumu Cheka kuwa ilitumia nguvu za uchawi. Maugo anasema kuanzia azaliwe hawuwahi kukutana na ngumi nzito kama zile, alisema ni aheri upigwe mawe ila siyo zile ngumi.Mandonga mtu kazi anamtaka mbabe, kasema hataki uchawi kwenye masumbwi!
Anataka nyama nyama, ngumi jiwe!
Jina lako sijui kama ni kile nachofikiria.Jamaa ni promota mzuri sana..binafs nimempendia hicho..ila sio proffisional boxer..umri umeenda sana..ni hatar sana kwa afya yake
Wanasema better die tryingTumshauri tu aachane na ngumi maana anaweza kufia ulingoni, ngumi zina wenyewe
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mkwara wa mandoga unaweza kukodi boda kuukimbia! Anamkwara hata wadeni wake wa pesa wanamjua!
Mtu mmoja anasimulia aliwahi kudaiwa na mandonga alikuwa akipigia simu za mikwara hadi anatamani kuhama nchi!
Ahhahha.... Daah mtu kazi hata mimi namsandisha mamamaeeee..Jamaa ni promota mzuri sana..binafs nimempendia hicho..ila sio proffisional boxer..umri umeenda sana..ni hatar sana kwa afya yake