mbobezi11
Senior Member
- Jun 11, 2022
- 156
- 120
Mabondia wengi ni ngumu kuwafanyia branding, wengi wao displine hawana hata kidogoShabani kaoneka anaoneknani ni bondia mwenye stamina kubwa. Naskia alishawahi kumkanda hata Bondia Mwakinyo kwa Knockout,
Sijui ni kwa nini hawampi mapambano.
Ningekuwa mdhamini ninge wapambanisha Shabani Kaoneka na yule Bondia aliyempiga Mandonga kabla ya Kaoneka.
Anaonekana naye ni Bondia mzuri sana.
Pambano lingekuwa la Moto kweli
Sent using Jamii Forums mobile app