Wangari Maathai
JF-Expert Member
- Aug 13, 2018
- 34,962
- 70,576
Unaweza kumpenda mtu hata kama hujawahi kumuona, tena upendo wa kweli. Ila MUDA NA ENEO LA KUMWAMBIA KUHUSU UPENDO WAKO JUU YAKE, Ndiyo vinaweza kukufanya uonekane mpuuzi.
najifunza zaidi [emoji41]
Nimekuaga PM japo umenipuuza,[emoji7][emoji7]
😂😂😂😂💪💪💪
Haaa haaa pole pole mama vibe 10 [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mimi sina weledi huo..unanijaza tu..sitak kbs upuuzi huo..yaan age hii nianze vidate na vitoto[emoji28][emoji28][emoji23][emoji23]![emoji5][emoji5][emoji5][emoji5][emoji5]
Sory my mum, nilikuwa sijaielewa vizuri hii post ya jamaa [emoji41]naona umeanza busara zako..badala ya kunitetea mama yako unampa kick huyu
😁😁😁🤕🤕🤕🤕🤕🤕Sory my mum, nilikuwa sijaielewa vizuri hii post ya jamaa [emoji41]
Watoto hawa hawanaga adabu mpuuze tuat first nilipandwa hasira nw am okey..nalala..nyts
nilinde pia...sio.kunipenda tu... tuliahidiana ntakulea km mwanangu..na ww vile vile mawashawasha km haya yakija fyekelea ndani..usk mwema....Ndiyo maana nakupenda mama
Haaa haaa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kipapatio kweliyaan my son huyu kipapatio ananionhelesha mbovu na ww upo kimya tu?nn maana ya kuwa mama yako wa kufikia mjini sasa[emoji21]
Bro fanya yanayokuhusu kaka.@Moderators Paw JamiiForums
I am not policing this forum lakini hamuwezi kuacha uzi kama huu ambao una curse words ndani yake na unania ya kuudhi. Why dont you take it down?
Mambo yasiwe mengi, mengi yasiwe mambo
@Moderators Paw JamiiForums
I am not policing this forum lakini hamuwezi kuacha uzi kama huu ambao una curse words ndani yake na unania ya kuudhi. Why dont you take it down?
Mambo yasiwe mengi, mengi yasiwe mambo
Njoo unihadithie hadithi mama ili nilale Unono!nilinde pia...sio.kunipenda tu... tuliahidiana ntakulea km mwanangu..na ww vile vile mawashawasha km haya yakija fyekelea ndani..usk mwema....
Njoo unihadithie hadithi mama ili nilale Unono!
☺Kiutani utani mbuzi akampanda mama ake.