Wangari Maathai
JF-Expert Member
- Aug 13, 2018
- 34,962
- 70,576
Unaweza kumpenda mtu hata kama hujawahi kumuona, tena upendo wa kweli. Ila MUDA NA ENEO LA KUMWAMBIA KUHUSU UPENDO WAKO JUU YAKE, Ndiyo vinaweza kukufanya uonekane mpuuzi.
najifunza zaidi [emoji41]
naona umeanza busara zako..badala ya kunitetea mama yako unampa kick huyu