Manengelo nakupenda

Manengelo nakupenda

Unaweza kumpenda mtu hata kama hujawahi kumuona, tena upendo wa kweli. Ila MUDA NA ENEO LA KUMWAMBIA KUHUSU UPENDO WAKO JUU YAKE, Ndiyo vinaweza kukufanya uonekane mpuuzi.

najifunza zaidi [emoji41]

naona umeanza busara zako..badala ya kunitetea mama yako unampa kick huyu
 
[emoji7][emoji7]
Nimekuaga PM japo umenipuuza,


Ninataka niandae daily plan for tomorrow kabla sijalala.


I love you so much, and you know that mapenzi ni kama majani huota popote na Rihanna aliwahi kuimba wimbo mzuri " WE FOUND LOVE IN A HOPELESS PLACE".


Ninakupenda sana more than you think


Have a wonderful and happiness night.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
@Moderators Paw JamiiForums
I am not policing this forum lakini hamuwezi kuacha uzi kama huu ambao una curse words ndani yake na unania ya kuudhi. Why dont you take it down?

Mambo yasiwe mengi, mengi yasiwe mambo
 
Back
Top Bottom