Pre GE2025 Maneno anayotoa Tundu Lissu majukwaani na mitandaoni si ya CHADEMA ni ya binafsi

Pre GE2025 Maneno anayotoa Tundu Lissu majukwaani na mitandaoni si ya CHADEMA ni ya binafsi

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Kabende Msakila

JF-Expert Member
Joined
Oct 7, 2020
Posts
1,809
Reaction score
1,692
Salaàm!

* Habari ya kuwa Abdul alimfuata ili ampe rushwa ni maneno yake mwenyewe. JIULIZE Why mwanasheria nguli afuatwe ili apewe rushwa afu asishitaki kwenye vyombo vya dola.

* Kutoa, kushawishi ni jinai - sasa iweje ashawishiwe afu asitoe taarifa kwenye mamlaka za kidola?

Uzanzibari vs Utanganyika - mbona CHADEMA haijatoa tamko c/o mamlaka za kichama na kuonesha ubaguzi unaopigiwa chapuo na Lissu?

PIA SOMA
- Kuelekea 2025 - Lissu: Abdul aliniletea rushwa nyumbani kwangu nikamwambia "Shenzi, kahonge wanaohongeka"
 
😃😃 hii nchi unavyoijua Kuna mtu wa takukuru hata angetoka ofisini akiskia anaenda kuchunguza kesi ya Abdul mtoto wa rais???
 
Mbona hujiulizi pia kwanini TAKUKURU hawajaenda kumhoji Lissu au huyo Abdul?

Pia kwanini hujiulizi kwann Abdul hajafungua case kudai fidia Kwa kudhalilishwa?
 
Jiulize kwanini hivyo vyombo vya dola hivijawahi kuchunguza shambulio dhidi yake lililofanywa na watu wasiojulikana???
 
Nadhani hata ile gari ilipigwa tu misumari ya bati Lissu ni muongo haikupigwa risasi.
 
Back
Top Bottom