Maneno bila sauti kutoka kwa dadaz

Maneno bila sauti kutoka kwa dadaz

Mkuu hapo ulipomalizia kusema I'm not a gay sijakuelewa, kuwa avoid women haihusiani na mambo hayo

Mtu anaweza kuwa avoid women kulingana na mambo Kama; umetoka kutendwa, ushawala Sana umeona hamna jipya ( umeamua kutulia zako na mkeo/mchumba ) , una mambo mengi ya kufanya kimaisha nk nk
 
Wazee wa kupanda mnazi kwa mkono mmoja naomba like zenu kamanda hapa ✌️
Hatari sana hicho chama kina wanachama wengine wengi sana wengi ni wa kimya kimya ila wapo chamani To yeye niongezee sauti hapo kwenye mixer naona mic inayomba
 
Back
Top Bottom