Maneno gani huwa unaitwa yanakushangaza lakini hayakuboi?

Aaaah usitupangie cha kuchangia bwana.. wewe umeshaandika pita hivi.. acha watu tutapike ya moyoni.
(Jc)
 
Pole Sana mkuu
 
Bonge, Big, Faza, Tajiri na sasa naona baadhi ya bodaboda nikifika wanauliza mzee unaenda....
Kudadeki
 
Mwandikie sindano za punda wenye kichaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…