Maneno gani huyaamini kutoka kwa mwanamke?

Mie sijawahi kumwamini Mwanamke yoyote hapa Duniani,including my own mother na itakuwa hivyo mpaka naondoka duniani.
Astaghafirulahi laadhwiim we mwana wee wajitafutia laana za ukubwani😳😳😳😳😳😳😳.
Uhusiano wa mtoto na mzazi huwa haupimiwi mizani ya uaminifu.
Kama hujui kaka japo sijui umri wako HAKUNA UHUSIANO USIO NA KIKOMO CHA UAMINIFU KAMA KATI YA MZAZI NA MWANA IWE BABA AU MAMA.
Na ni kwao pekee ndipo unaweza pata uaminifu stahiki.
Kama wewe umewadanganya mara kibao wakakusamehe na kurudisha uaminifu kwanini utilie shaka uaminifu wa mama!!??
Hapo mkuu umekosea sanaaaa tena saaanaaaaaa.
 
sujawahi kufanya...
 
"Usimuamini mwanamke yeyote isipokuwa mama yako" hii kauli alinambia bro mmoja alipigwa tukio na mkewe nilolishuhudia yule bro alikuwa muislam pure ila tangu yamkute kwa sasa mlevi mbwa
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚Acha bas kaka.
Wengine tumekua Wa-Jamaica kaka mpaka leoπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
[emoji28][emoji28]imenikuta kwa mwanachuo mmoja eti ananambia nataka we ndio uwe mwanaume wangu wa kwanza, nikajua hapa naenda bikiri mtu. Heeee shenzi mngoni yulee
 
[emoji28][emoji28]imenikuta kwa mwanachuo mmoja eti ananambia nataka we ndio uwe mwanaume wangu wa kwanza, nikajua hapa naenda bikiri mtu. Heeee shenzi mngoni yulee
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Aiseeeee!
Wangoni nao wa kuwaamini!?
πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…