Maneno gani huyaamini kutoka kwa mwanamke?

Maneno gani huyaamini kutoka kwa mwanamke?

Mie sijawahi kumwamini Mwanamke yoyote hapa Duniani,including my own mother na itakuwa hivyo mpaka naondoka duniani.
Astaghafirulahi laadhwiim we mwana wee wajitafutia laana za ukubwani😳😳😳😳😳😳😳.
Uhusiano wa mtoto na mzazi huwa haupimiwi mizani ya uaminifu.
Kama hujui kaka japo sijui umri wako HAKUNA UHUSIANO USIO NA KIKOMO CHA UAMINIFU KAMA KATI YA MZAZI NA MWANA IWE BABA AU MAMA.
Na ni kwao pekee ndipo unaweza pata uaminifu stahiki.
Kama wewe umewadanganya mara kibao wakakusamehe na kurudisha uaminifu kwanini utilie shaka uaminifu wa mama!!??
Hapo mkuu umekosea sanaaaa tena saaanaaaaaa.
 
Brothers niaje kaka zangu leo ngoja niwape ka challenge, ni maneno gani ukiambiwa na mwanamke unahisi ni uongo?

Kwa mfano mi demu aisee akinambia eti "upo peke yako" yaani hapo ndo nazidi kupata mashaka nahisi nasaidiwa😀😀
Au akinambia nakupenda ndiyo siaminigi kabisa.

Vipi kwa upande wako maneno gani huyaamini kutoka kwa hizi species
sujawahi kufanya...
 
"Usimuamini mwanamke yeyote isipokuwa mama yako" hii kauli alinambia bro mmoja alipigwa tukio na mkewe nilolishuhudia yule bro alikuwa muislam pure ila tangu yamkute kwa sasa mlevi mbwa
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂Acha bas kaka.
Wengine tumekua Wa-Jamaica kaka mpaka leo😂😂😂😂
Screenshot_2024-03-18-20-40-15-34_81b5f59f81a9801c9f112972edbe649b.jpg
 
Aisee hii nilivaba kwa toto la kirangi Tabora Nzega 2017.
"Eti sijafanya" ile naingia mchezoni kumbe mtoto hadi mechi za nyuma kacheza[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji850][emoji850][emoji850][emoji850]
Ramadhani astagafiru
[emoji28][emoji28]imenikuta kwa mwanachuo mmoja eti ananambia nataka we ndio uwe mwanaume wangu wa kwanza, nikajua hapa naenda bikiri mtu. Heeee shenzi mngoni yulee
 
Back
Top Bottom