Maneno gani mazito ya mwisho ungependa yasomwe kwenye msiba wako watu wayasikie

1.Maisha sio majaribio
2.Ukipenda/kupendwa pendeka
3. Ukipewa nafasi onyesha hujachaguliwa kwa bahati mbaya
4.Ukiaminiwa onyesha uaminifu
5.Linda thamani yako
6. Tunaishi mara moja dunia haina huruma na mtu masikini
 
Unakaa chini unawaza misiba na kufa,hivi shida huwa inakuwa ni nini?🤔
 
Mpende Bwana Mungu wako kwa moyo wako wote kwa akili Yako yote na kwa nguvu zako zote
Kisha ipende nafsi Yako kwa moyo wako wote
 
Ningependa watangaziwe kwamba sijafa bali nimeanza maisha mapya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…