Kennedy
JF-Expert Member
- Dec 28, 2011
- 54,894
- 64,043
NakaziaTunaishi mara moja tupendane.
Maendeleo Hayana Chama
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
NakaziaTunaishi mara moja tupendane.
Labda utuambie unaishi na maambukizi na umeacha kutumia dawa.Izingatiwe sana huo wosia
Nani kasema?Tunaishi mara moja tupendane.
Hali ya kukata tamaa ndani ya mtu hupelekea mawazo ya namna hiiUnakaa chini unawaza misiba na kufa,hivi shida huwa inakuwa ni nini?🤔
Kila atakae muoa shart afe ndani ya wiki tu. MtakimbianaLabda utuambie unaishi na maambukizi na umeacha kutumia dawa.
Tutasoma huo usia na baada ya hapo tutapita naye. Labda ufufuke kuzuia hilo.
Vijana wa hovyo tumekusudia😄
Watakufukunyua mfukunyundu
Na venye napendaa.... nautega tuuWatakufukunyua mfukunyundu
Ningependa watangaziwe kwamba sijafa bali nimeanza maisha mapya.Assume dunia nzima au watanzania wote tupo kwenye msiba wako tunakwenda kukuzika sasa kwa ufupi tu ungepewa nafasi uandike mambo ya mwisho siku za mwisho za uhai wako ungesema hoja gani wosia wa kutuachia sisi tunaobaki.
je yupo mtu ambaye ulimpenda na yeye hakukupenda ungependa ajue au yupo mtu aliyekuumiza na kukukandamiza ungependa umchane
Astakafillah 😀😀😀Na venye napendaa.... nautega tuu
Ataolewa tuBila kupoteza muda
Isomwe.
NIKIFA MKE WANGU ASIOLEWE.
Duh!!?Mie kwangu isomwe "Marehemu alikuwa bikra"