Maneno 'HAPA KAZI TU' yaondolewe kwenye mali za nchi, yanatia aibu na wala hayana maana yoyote

Nakumbuka miaka hiyo ya nyuma naanza kazi kwenye kampuni moja ya kigeni iliyokuwa imeingia tu nchini. Walinunua gari 6 mpya, dereva mmoja baada ya kukabidhiwa gari mojawapo, alisafiri nayo kwenda Dar. Kurudi, akawa ameweka stickers 2, zina picha ya duma, halafu chini ya ya picha kumeandikwa, "Manyanga chini", HR Mkanada kuona tu zile stickers, akamwambia yule dereva kwa kufoka, ' remove those stupid stickers, they mean nothing to a sensible world"

Kwa nchi au kampuni kuna nembo zilizokubaliwa, ndiyo zinazotakiwa kuwekwa kwenye mali za nchi. Hizo huwa ni utambulisho wa haraka.

Slogans za watawala hazitakiwi kuwekwa kwenye vitu vya kudumu vya Taifa. Zinaweza kuwekwa kwenye vitu ambavyo vitaondoka utawala wake unapoondoka, kama vile mabango ya uhamasishaji.
 
Ngoja waje 🤣🤣🤣
 
Hapa ndipo nakumbuka signature maarufu ya ndugu yetu Invisible . Ndugu yetu Invisible uendelee kuheshimika.
 
Itategemea ataniuliza kwa lugha gani kama kingereza nitamjibu kishishi shishi

HERE IS WORK ONLY [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Naunga mkono hoja
 
Labda ukafute maandishi yaliyo kwenye makaburi ya babaako na mamaako.
 
Wivu unaua haraka kuliko ugonjwa wowote ule
 
Meli Kubwa kuwahi kutokea Ziwa Victoria ndo inashuka majini. HAPA KAZI TU!! Viva JPM

Mwambie sasa huyo Mbelgiji aende Mwanza kumtukana Shujaa wa Africa.

Maneno HAPA KAZI yataendelea kuwepo wakati wote. KENGE
 
CHADEMA hawana Hard Top. Wana mi- Pick Up
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…