Chaliifrancisco
JF-Expert Member
- Jan 17, 2015
- 26,021
- 79,710
Ukware - kuonja msosi wa mwezio
Sumu - ugali
Pora - uji
Uchichi - parachichi
Maungo - mixa ya dagaa na mafuta ya kimbo
CD - chapati
Paku - mtu ambae ukiwa na kitu hamnyimani
Waki - spy/mnoko
Mnazi - kusimamisha manzi koridoni
Miss - kukosa msosi
Buga - suruali pana
Wonder leg - mtu mwenye mguu mkubwa
Bamba - kuchukua msosi
Baku - wallet
Nzi - mtu shazi
Moka - kuvuta ganja/fegi
Kusofoo - copper sulphate
Nondo - kibuti
Flagela - fimbo
Paper two - kurudia kuchukua msosi round ya pili
Form nyoya - form one
Kirusi - mwanafunzi mwembamba
Nyali - wali
Msongolisti - anaesoma sana
Kuamka singo - kunywa chai kwa kipande kimoja tu cha mkate unachopewa na shule/ ukiamka double ina maana umenunua mkate dukani au chapati n.k