Maneno maarufu secondary za bweni

tunaendelea ....

mbuni = mademu
kupigwa inya = kupewa msosi kidogo ambao huwezi kushiba
fangafu = bakuli la msosi
bampari = mihogo ya kuchemsha
chuma = headmaster
lawino = mwalimu wa english
kakunyu = sehemu maalamu ya kujisomea
...............
(Tanga Tech hiyooo)
 
Stone- mkate
Sebeza- kutongoza
Kusuuza utumbo- kufanya ngono
 

Umsahau chuma chakavu- safari lager
 

Umesahau chuma chakavu- safari lager
 
kujisuuza-kupiga punyeto
wajomba-walimu
kipele-spy wa walimu
kutembeza kipira-kutoa kichapo kwa form one usiku
mandondo-maharage yasiyoungwa
birthday-siku ya kula nyama
 
Unyuka--Uji wenye sukari
Umwamba-Uji usio na sukari
Ledo-chakula kidogo sana
Nyali--wali
NATO-wanaopiga sana ma stori na mademu (No Action Talks Only)
.....
 
USHI -uzuraji shinyanga
Mlingoti-kusimama na msichana
 
Kuenda Mongwe-Kuishiwa pesa,
Ngama-Ugali,
Nyali-wali,
Salo-mboga mboga,
Kuchoma-kuingia bweni na viatu,
Kupigwa Zongwe-Ugonjwa mbaya wa Ngozi unao sababishwa na Nairobi fly,
Kutoboa-Kukesha unasoma.
Hapo ni Mzumbe Sec.
 

Kula like kiongozi,umenikumbusha mbali saaana
 
Kimbuzi-andazi
Kupigwa toss-kupewa chakula kidogo
Kusimama mlingoti| mnazi-kusimama na mtu wako
Vim*vi-bagia
Benga-sahani
Maunga-uji
Njoroge-english teacher
Kuibua-kuiba
(moshi tech)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…