Maneno na kauli za Masikini wanapojifariji

Kwanini niinunue n'gombe mzima wakati shida yangu Ni nyama Tu Na nyama buchani zimejaa. Nikitaka kwenda Mahali si ninapanda daladala Tu. Gari la milioni 60 la kazi gani
 
ila mwendazake aliwafanya watu mafukara wawachukie sana matajiri. sijui matajiri walimkosea nini yule jamaa.
Acha kumsingizia marehemu, nenda kawaulize mafukara kitu gani matajiri wanawafanyia. Mtaani kwetu kitajiri kidogo kimeamua kujenga fensi ya nyumba mpaka barabarani. Sasa hivi barabara ni uchochoro na raia hatuna cha mkumfanya. Sasa huyo ni level ya mtaa. Njoo level ya kitaifa, ndo unasikia, mafuta ya magari na mitambo bei juu, mafuta ya kupikia bei juu, sukari bei juu, vifaa vya ujenzi bei juu, na vifurushi vya mitandao bei juu. Kwa hiyo ukiona fukara anamchukia tajiri ujue ana sababu zake wala siyo huyo mwendazake.
 
kupanda kwa bei mafuta na sukari matajiri wanahusikaje?.

ilaumu serikali yako inayoongeza kodi na tozo kwenye bidhaa muhimu zenye uhitaji mkubwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…