That Gentleman
JF-Expert Member
- Dec 16, 2016
- 2,215
- 3,678
So Raisi hawezi kuhongwa?? Akifika kwa mabeberu anakuwa kama kiranja tu.Hivi Rais wa Nchi ahongwe shilingi ngapi?
unakwepa Chanjo unameza ARVs😁
Kwani tunaomeza ARV tupo wangapi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
So Raisi hawezi kuhongwa?? Akifika kwa mabeberu anakuwa kama kiranja tu.Hivi Rais wa Nchi ahongwe shilingi ngapi?
unakwepa Chanjo unameza ARVs😁
Huenda amepiga penye mshono, maana anataja majina piaUkimya wao ndio unazidi kuwapa wasi wasi wananchi na kuzipa nguvu hoja au madai ya Gwajima
Rais hawezi kuwa na shida ya kuhongwaSo Raisi hawezi kuhongwa?? Akifika kwa mabeberu anakuwa kama kiranja tu.
Kwani tunaomeza ARV tupo wangapi?
Hili suala la CORONA limekuwa kizungumkuti kwa sasa kwenye jamii yetu.
Nguvu kubwa inayotumika kuwashawishi watu wapatiwe chanjo pia nguvu kubwa inayotumika dhidi ya watu wanaotoa maoni yao dhidi ya chanzo vinazidi kuzua maswali na hofu kuu kwa wananchi.
Nadhani huu ndio muda muafaka kwa wataalamu kulitolea ufafanuzi wa kitaalamu hizi chanjo na sio kuwazodoa watu wanaopingana na chanjo.
Hayo malumbano ndio yanazidi kuwaweka wananchi njia panda na kuwajaza hofu.
Kama kupata chanjo ni khiyari ya mtu basi ibakie tu hivyo hivyo na kama kunatokea mtu anatoa maneno yanayoonekana kupotosha basi jukumu la wataalamu ni kutoa ufafanuzi kwa wananchi ili washawishike na sio vitisho na maneno ya kejeli.
Kupanic baada ya kutoa maelezo kunaleta tafsiri ya kuwa hao wanaopanic huenda wana maslahi na hii chanjo kwa namna moja au nyingine.
Mungu ibariki Tanzania
Zile si hoja za Gwajima,bali ndio sayansi ilivyo....anayedhani kwamba Gwajima anaongea upuuzi basi huyo ndio mwenye matatizo kichwani.Hili suala la CORONA limekuwa kizungumkuti kwa sasa kwenye jamii yetu.
Nguvu kubwa inayotumika kuwashawishi watu wapatiwe chanjo pia nguvu kubwa inayotumika dhidi ya watu wanaotoa maoni yao dhidi ya chanzo vinazidi kuzua maswali na hofu kuu kwa wananchi.
Nadhani huu ndio muda muafaka kwa wataalamu kulitolea ufafanuzi wa kitaalamu hizi chanjo na sio kuwazodoa watu wanaopingana na chanjo.
Hayo malumbano ndio yanazidi kuwaweka wananchi njia panda na kuwajaza hofu.
Kama kupata chanjo ni khiyari ya mtu basi ibakie tu hivyo hivyo na kama kunatokea mtu anatoa maneno yanayoonekana kupotosha basi jukumu la wataalamu ni kutoa ufafanuzi kwa wananchi ili washawishike na sio vitisho na maneno ya kejeli.
Kupanic baada ya kutoa maelezo kunaleta tafsiri ya kuwa hao wanaopanic huenda wana maslahi na hii chanjo kwa namna moja au nyingine.
Mungu ibariki Tanzania
Mkuu daraja la 111A uwe na D mbili cheti cha form 4 umeenda chuo cha ualimu huyu ndio mwalimu wa shule ya msingi akufundishie mwanao, kama sio masihara ni nini??Walimu wana akili ndogo sana.
Sijui ilikuwaje nikawa mwalimu yaani sijawahi ona,watu wajinga wanafundisha watoto wa Kitanzania na ndiyo maana Tanzania ina watu wajinga sana.
Asante kwa kunielimisha kijana wa zamaniNguvu kubwa imetumika kuwapa watu chanjo zote. Hakuna chanjo iliyowahi kukubaliwa kirahisi wewe kijana wa juzi.
Raisi wetu ni mkubwa kwetu tu ila kwa wengine ni mdogo.Rais hawezi kuwa na shida ya kuhongwa
Walimu wana akili ndogo sana.
Sijui ilikuwaje nikawa mwalimu yaani sijawahi ona,watu wajinga wanafundisha watoto wa Kitanzania na ndiyo maana Tanzania ina watu wajinga sana.
Tulia we kondoo wa Gwajima.Punguza maneno ya ovyo ndugu. Wewe leo unaubora upi wa akili? Thibitisha hapa basi.
Tumelelewa na wazazi wetu hao hao Walimu, wakatupa elimu hii tuliyonayo sasa wewe leo kwa akili yako kubwa uliyonayo unawaita hawana akili.
Hongera kwa akili kubwa mkuu. Hukutakiwa kuzaliwa kizazi hiki walau ungekua umezaliwa kizazi cha kina Plato. Ila madharau sio mazuri.
Kama wewe ni Mwalimu kuna uwezekano mkubwa ulikuwa na ufauru mdogo sana, wewe ni kilaza, but wako walimu very talented mzee usigeneralize.Walimu wana akili ndogo sana.
Sijui ilikuwaje nikawa mwalimu yaani sijawahi ona,watu wajinga wanafundisha watoto wa Kitanzania na ndiyo maana Tanzania ina watu wajinga sana.
Maneno yako meengi hayafuti ukweli kuwa asilimia 90 ya walimu ni vilaza.Kama wewe ni Mwalimu kuna uwezekano mkubwa ulikuwa na ufauru mdogo sana, wewe ni kilaza, but wako walimu very talented mzee usigeneralize.
Binafsi I do respect walimu, Mwalimu wangu wa shule ya Msingi ana .chango mkubwa sana kunifanya niwe hivi nilivyo leo (Apumzike kwa Amani)
Yupo Mwalimu wangu wa Physics A-Level Mechanics, Heat na Wave, pamoja na Organic Chemistry.. (Mwalonde Popote pale ulipo nakusalimu)
bila yeye hakika nisingetoboa ile fizikia na Kemia
Halafu unakuta tutusa kama wewe linaropoka eti walimu sijui nini.
Futa kauli yako. Na uwe na adabu.
Mkuu naenda kinyume na wewe,walimu wengi hawana akili za maishaKama wewe ni Mwalimu kuna uwezekano mkubwa ulikuwa na ufauru mdogo sana, wewe ni kilaza, but wako walimu very talented mzee usigeneralize.