Tachu hano
JF-Expert Member
- May 30, 2016
- 1,506
- 2,518
Sawa , nenda kasaini fomu ya serikali kutokuhusika na kuganda kwako kwa damu baada ya kuchanjwa. Kisha ungana na wazungu mafala kuwa panya wa majaribio na kupokea chanjo. Sisi tukisubiri kuona matokeo miaka miwili ijayo. Ila nakuhakikishia 98% ya watanzania hawapo tayari kupokea chanjo hata uwawekee bunduki kichwani. Na mkijaribu kuwatumia wananchi kufanya maigizo ya kuchanjwa Kama viongozi wa nchi juzi ndo Siri itafichuka hata hizo 2% zilizobaki hamzipati tena. Watanzania sio wajinga Kama mnavyodhani.
Huo ndio ukweli mkuu achana na hawa wapiga kelele ambao wapo mtandaoni porojo nyingi chanjo chanjo na hawaendi kuchanjwa
Nenda mtaani fanya research watu hawataki chanjo na hawatachanja.