Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nchi imesimama... Bi mkubwa na wapambe wake wapo bize na kupromote corona... Kwao habari sasa ni barakoa na kuzuia mikusanyiko isiyo wahusu. Ya kwao inaogopwa na corona🤣Ni km Viongozi wamekula rushwa ku promote Corona.
Watu wanaokufa wako wapi? Wao wachanje TU sisi wanyonge hatuchanji.Km wamekula vya watu wakitegemea kututoa sadaka,kazi wanayo kurudisha vya watu
Kaka sio hapo tuu, kote wapo wanaopinga hiyo chanjo. wanafafanya mpaka maandamano.Afadhari wewe watu wa bar ndiyo hawaelewi.
Mimo nipo staff moja na walimu wote wana degree na masters lakini Gwajima ni reference yao,yaani wamesababisha nimepewa onyo leo kwa kelele.
Ujinga bado ni mkubwa hapa nchini.
Anatetea wataalamu ambao hawana msimamo... Kesho Magufuli akifufuka wataanza kupigia debe nyungu🤣Eti kichaa, ww mzima una nn cha kumfikia kichaa yule. Wajinga sana nyinyi, kujikuta werevu kumbe zero
....ignorance....Kuna watanzania hawajitambui kabisa. Huyu Gwajima(askofu) amekwisha toa kauli tata kibao. Ahadi kibao ambazo hajatekeleza...lakini bado kuna watu wanamwamini. Sijui tumelogwa? How comes,we behave this way?
LISEMWALO LIPO KAMA HALIPO BASI LINAKUJA Watu wana Vyanzo vya HabariThe come back of Rashid Gwajima siyo ya kitoto we mchukulie kama chizi au serious(mimi huwa namuona mwehu )ila nipo Tabata hapa ka grocery fulani tunabishana suala la chanjo reference ya hawa jamaa ni video ile ya Gwajima najaribu kuwaelewesha nimeshindwa,anyway nime stick kula beer tu huku nacheka.
Nimependa part alipopiga kunako kwamba kuna watu wamechukua FUNGU ili watupe hofu ya Corona akauliza mbona wakati wa Magufuli haya hayakuwepo?
Hivi Shehe Ponda au Mnyika angeongea speech ile leo angekuwa uraiani kweli?
Huo utafiti wako ni wa uongo au sample yako ni ya vichaa!Katika watu 27 niliowauliza kama watachanga hakuna hata mmoja aliesema ana chanja wote wanakataa sasa hao 27 wanafamilia wana ndugu wana marafiki ambao wanaseza kuomba ushauri kwa hawa watu kuhusu Chanjo
Watanzania wengi wanaona kwa macho juu ya tulipotoka ,tulipo na tunapoenda juu ya hii Corona ukiona watu wamegoma juu ya barakaoa pamoja na vitisho vyoote itakuwa chanjo?
Kingine reaction ya Serikali juu ya maneno ya Gwaji nayo imechangia watu kuona hapa kuna kitu hakuna aliyejibu hoja za Gwaji zaidi ya kumsema Gwaji mwenyewe
Kingine inashangaza Serikali kuwa maofisa masoko wa kampuni ya Chanjo unapowasilikiliza unaweza kudhani ni maofisa masoko wa kampuni ya JJ pili sisi hatuna Lab za kusibitisha kuwa dawa hz zinafaa au hazima madhala uchunguzi umefanyika lini kutoka chanjo kuingia mpk kuchanjana juzi hv uchunguzi wa Dawa inaweza kuwa muda mfupi namna hii?
Hapa tunazungumzia Chanjo ya JJ ambayo serikali yako inaipigia debe kana kwamba ni maofisa masoko haya niambie muisrael gani au mjerumani gani amechanja chanjo ya JJ ?Huo utafiti wako ni wa uongo au sample yako ni ya vichaa!
Kwa hiyo nyinyi na hao 27 uliowahoji ni wajanja kuliko waisraeli?
Je,nyinyi ni wajanja kuliko wajerumani? ambao wanaendelea kuchanjwa. Jibu ni hapana ..hamna ujanja wowote. Mnasumbuliwa ujinga na kutoelimika. Ndio,mmeenda shule mkakaa kwenye chumba cha pembe nne lakini hamkuelimika!
Kwa tathmini yangu ya haraka na isiyo ya kisayansi zaidi ya asilimia 70 ya watanzania hawataki kusikia chanjo ya coronaNi kweli, vijiweni habari za chanjo siyo popular kabisa
You might be right aiseeKwa kuwa thinking capacity yao huwa inakuwa reduced to the level of their pupils/students.
Psychologically,mawazo ya binadamu huwa yanafanana na watu wanaomzunguka. Ndio maana tunapata ile halo kila mtu anaijua kama mob psychology.
Wajibu hoja nzito za Gwajima,vinginevyo hakuna atakaye waelewa.Wanayo ongea ni upupu.The come back of Rashid Gwajima siyo ya kitoto we mchukulie kama chizi au serious(mimi huwa namuona mwehu )ila nipo Tabata hapa ka grocery fulani tunabishana suala la chanjo reference ya hawa jamaa ni video ile ya Gwajima najaribu kuwaelewesha nimeshindwa,anyway nime stick kula beer tu huku nacheka.
Nimependa part alipopiga kunako kwamba kuna watu wamechukua FUNGU ili watupe hofu ya Corona akauliza mbona wakati wa Magufuli haya hayakuwepo?
Hivi Shehe Ponda au Mnyika angeongea speech ile leo angekuwa uraiani kweli?
Mbona Uk,USA na ujerumani kuna madaktari kibao tena mabingwa wanaoipinga hiyo chanjo!?, Tatizo mna akili za kikoloni eti kwasababu wazungu wengi wamechanjwa ndo mtanzania akihoji anaonekana mjinga, mbona wazungu kibao ni mafala tu?,au hujawahi kuishi nchi za wazungu?.. hii ishu ya chanjo miezi michache ijayo itawaumbua watu wengi sana.Huo utafiti wako ni wa uongo au sample yako ni ya vichaa!
Kwa hiyo nyinyi na hao 27 uliowahoji ni wajanja kuliko waisraeli?
Je,nyinyi ni wajanja kuliko wajerumani? ambao wanaendelea kuchanjwa. Jibu ni hapana ..hamna ujanja wowote. Mnasumbuliwa ujinga na kutoelimika. Ndio,mmeenda shule mkakaa kwenye chumba cha pembe nne lakini hamkuelimika!
Suala la COVID ni kipimo muafaka cha kiwango cha ujinga kwa wananchi wa Tanzania hata wale wanaoonekana kuwa wasomi.Afadhari wewe watu wa bar ndiyo hawaelewi.
Mimo nipo staff moja na walimu wote wana degree na masters lakini Gwajima ni reference yao,yaani wamesababisha nimepewa onyo leo kwa kelele.
Ujinga bado ni mkubwa hapa nchini.
Umenena vyema kuwa kuna wazungu mafala na inawezekana ndio hao wanaohoji chanjo. Hivyo na wanaopinga chanjo wanawaiga wazungu .mafala kupinga bila kuwa na hoja.Mbona Uk,USA na ujerumani kuna madaktari kibao tena mabingwa wanaoipinga hiyo chanjo!?, Tatizo mna akili za kikoloni eti kwasababu wazungu wengi wamechanjwa ndo mtanzania akihoji anaonekana mjinga, mbona wazungu kibao ni mafala tu?,au hujawahi kuishi nchi za wazungu?.. hii ishu ya chanjo miezi michache ijayo itawaumbua watu wengi sana.
Gwajima si ajitoe tu CCM tutamjua kweli amedhamiria, lakini akioewa tenda ya kuleta chanjo yeye atakuwa wa mwanzo kuweka bega na kuchanjwa hata na sindano feki.The come back of Rashid Gwajima siyo ya kitoto we mchukulie kama chizi au serious(mimi huwa namuona mwehu )ila nipo Tabata hapa ka grocery fulani tunabishana suala la chanjo reference ya hawa jamaa ni video ile ya Gwajima najaribu kuwaelewesha nimeshindwa,anyway nime stick kula beer tu huku nacheka.
Nimependa part alipopiga kunako kwamba kuna watu wamechukua FUNGU ili watupe hofu ya Corona akauliza mbona wakati wa Magufuli haya hayakuwepo?
Hivi Shehe Ponda au Mnyika angeongea speech ile leo angekuwa uraiani kweli?
Sawa , nenda kasaini fomu ya serikali kutokuhusika na kuganda kwako kwa damu baada ya kuchanjwa. Kisha ungana na wazungu mafala kuwa panya wa majaribio na kupokea chanjo. Sisi tukisubiri kuona matokeo miaka miwili ijayo. Ila nakuhakikishia 98% ya watanzania hawapo tayari kupokea chanjo hata uwawekee bunduki kichwani. Na mkijaribu kuwatumia wananchi kufanya maigizo ya kuchanjwa Kama viongozi wa nchi juzi ndo Siri itafichuka hata hizo 2% zilizobaki hamzipati tena. Watanzania sio wajinga Kama mnavyodhani.Umenena vyema kuwa kuna wazungu mafala na inawezekana ndio hao wanaohoji chanjo. Hivyo na wanaopinga chanjo wanawaiga wazungu .mafala kupinga bila kuwa na hoja.