Maneno ya Kiswahili yaliyopo mbioni kuharibiwa na vilaza

Vijana hamna vijipesa wala maamuzi πŸ€”
huana haja ya kubabaika nao then gentleman,

pambana kwa namna yako wewe mwenye pesa na maamuzi bila usumbufu kwa wengine na itapendeza zaidi
 
yaani uone njaa halafu usindwe kuisikia kweli..!?πŸ€”πŸ€”πŸ€”
Usikariri mkuu,
Kwa hali hiyo kuona aibu siku utatuambia ni sawa hata tukisema kusikia aibu
Kuona kizunguzungu utasema kusikia kizunguzungu
Kuona cha mtema kuni utasema kusikia cha mtema kuni
Kuona kesho utasema kusikia kesho
Kuona gere utasema kusikia gere

Hakuna mantiki ya kwamba kila penye neno kuona tuna uwezo wa kulireplace kwa neno kusikia

Je mtu akisema ameona jua likichomoza utasema ni sahihi hata angesema amesikia jua likichomoza?

Najua ulikuwa unatania
 
huana haja ya kubabaika nao then gentleman,

pambana kwa namna yako wewe mwenye pesa na maamuzi bila usumbufu kwa wengine na itapendeza zaidi
Mimi pesa walishapambana mababu ukiona nazungumza chochote humu ni mimi mwenyewe tu gentleman
 
Kwakweri wanaokosea kiswahiri wanakela sana
 
Ninaona njaa au ninahisi njaa?.

Pia watu wanaoshindwa kutofautisha neno ndiyo na neno ndio, niko na nipo.
 
huana haja ya kubabaika nao then gentleman,

pambana kwa namna yako wewe mwenye pesa na maamuzi bila usumbufu kwa wengine na itapendeza zaidi
Hauna pesa wala akili gentleman πŸ’
 
Kuna wale wa kutamka maneno ya kiingereza yale ya "...ing" kwa namna yalivyo
Mfano
Morning anasema moningi
Talking anasema tokingi
 
Hicho kiti=iko kiti
Hana muda=ana muda
Naomba hela=naomba ela
Halima ni Alima
Mwanaidi ni Mhanaidi
Hamisi ni Amis
Masikini ni maskin
Mtu badala ya kusema,
SAMIA anasema SAMIYA.
 
Mimi pesa walishapambana mababu ukiona nazungumza chochote humu ni mimi mwenyewe tu gentleman
pesa mingi iko shambani genteman haina haja ya kubabaika na kuchakaza soli sana kwa lami mjini
 
Hicho kiti=iko kiti
Hana muda=ana muda
Naomba hela=naomba ela
Halima ni Alima
Mwanaidi ni Mhanaidi
Hamisi ni Amis
Masikini ni maskin
Hana muda na ana muda ni vitu viwili vyenye maana mbili tofauti, kwahiyo

"Hana muda" maana yake hajapata muda
"ana muda" maana yake anao muda

Kwahiyo huwezi kurekebisha Hana muda kuwa ana muda maana ni vitu viwili tofauti vyenye maana tofauti.
 
Siku hizi wavivu wa lugha hawaandiki au kutamka tena
Sebule- wanasema seble
Muziki- wansema mziki
Muda- wansema mda!
Kuongezea, matumizi ya L na R!
Inakera sana!
 
Dogo zangu moja siku hiyo limetuma sms ndefu ndefu ivi kuifungua nakuta mbwembwe kibao maeksi eksi mengi, ma sii sii ya kutosha na ujinga mwingine mwingine mfano wa huo
Dog zangu.
Limetuma.
Ivi.
Kuifungua nakuta.

Maneno tajwa hapo yametumika vizuri katika Sentensi yako?
BICHWA KOMWE - njoo umnyooshe huyu kijana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…