Maneno ya Kiswahili yaliyopo mbioni kuharibiwa na vilaza

Mtu badala ya kusema,
SAMIA anasema SAMIYA.
Samiya ndo sahihi , Samia ni makosa , asili yake ni jina la kiarabu lenye maana "alie juu" , isipokua East Africa linatumika zaidi kama Samia lakini uhalali wake ni Samiya, hivyo tunaweza kusema wote wako sahihi kulingana na mazingira waliyopo au kutamka kwa maana halisi au kama ilivyozoeleka upande fulani.
 
Kwani kwenye vyeti vyake limeandikwaje.
 
Naniliu sijui huwa inamaanisha nini.
Wengine husema 'nendaga, fungaga, jamiianaga', 😎
Hasa sisi wanyalu😄
Ila ni kama tumerasimisha vile hicho kivumishi kutumika kuonesha kuwa jambo husika linafanyika mara kwa mara.. mf. watoto wanaendaga shule saa 1 asubuhi
 
Safali=Safari
Naludi=Narudi
Selasini=Thelathini
Polini=Porini

Na walimu wa kiswahili baadhi yao wanaandika hivi.
 
Hasa sisi wanyalu😄
Ila ni kama tumerasimisha vile hicho kivumishi kutumika kuonesha kuwa jambo husika linafanyika mara kwa mara.. mf. watoto wanaendaga shule saa 1 asubuhi

Kweli wanyalu wanaongea hivyo.
 
Vipi wanaosema Samiah?
 
mbona maneno kibao tu tayari yashaharibiwa kaka, kusema kwamba ni hayo tu uongooo.
 
pesa ni ardhi na shamba kubwa gentleman hakuna kushupaza shingo
Ni wewe umesema gentleman, sasa pale manyara na mbulu kuna shamba gani la ghali? Babu yangu mwenyewe kanunua zaidi ya hekari 1000 achana na mzee?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…