Tanzania ina mamilioni ya hekta za ardhi isiyotumika kila pembe ya nchi, huna haja ya kung'aa macho na kushangaa maghorofa mjini gentlemanNi wewe umesema gentleman, sasa pale manyara na mbulu kuna shamba gani la ghali? Babu yangu mwenyewe kanunua zaidi ya hekari 1000 achana na mzee?
sebleniNachukia kusikia mtu anasema seble
Vipi kuhusu miskoloSiku hizi wavivu wa lugha hawaandiki au kutamka tena
Sebule- wanasema seble
Muziki- wansema mziki
Muda- wansema mda!
Nashangaa vipi vitu vya kijinga gentleman binafsi mimi sio raia wa nchi ya kijinga kama unayotoka wewe gentleman.Tanzania ina mamilioni ya hekta za ardhi isiyotumika kila pembe ya nchi, huna haja ya kung'aa macho na kushangaa maghorofa mjini gentleman
I know all thatHana muda na ana muda ni vitu viwili vyenye maana mbili tofauti, kwahiyo
"Hana muda" maana yake hajapata muda
"ana muda" maana yake anao muda
Kwahiyo huwezi kurekebisha Hana muda kuwa ana muda maana ni vitu viwili tofauti vyenye maana tofauti.
Aah sawa hapo nimekusoma kweli hao wapo wengiI know all that
nilichoandika ni kile ninachokisikia na kukiona wakiongea na kuandika miaka hii tofauti na zamani
Mh. Mtu anasema: "Huna shilingi laki moja uniazime?" Akimaanisha "Una shilingi laki moja uniazime?" Huu ndiyo uharibifu wa lugha unaojadiliwa hapa.
Kabisa na lugha pia hufa na hizo ni lahaja tu..ni kukua kwa lugha
Kabisa na lugha pia hufa na hizo ni lahaja tu
Lugha yenye watu wengi (kiswahili kina watu>230 million duniani), haiwezi kufa, ila ina evolve/ina grow kulikana na mabadiliko ya mazingira, teknologia n.kKabisa na lugha pia hufa na hizo ni lahaja tu
Muda wakati mwingine wanasema ''mida''Siku hizi wavivu wa lugha hawaandiki au kutamka tena
Sebule- wanasema seble
Muziki- wansema mziki
Muda- wansema mda!
Ona sentensi hii: Njooni baada ya saa moja . 1. Inaweza kuwa ni saa moja (i.e wakati) eg ya jioni au asubuhi. 2. Inaweza kuwa ni baada ya muda wa dakika 60 kupita. Suluhisho: ongeza li kwenye saa.Lisaa badala ya Saa
neno hili huharibiwa sana wapuuzi wa Dar
Ni kweli. Ila kuna maneno kubadilika na maneno kuharibiwa kwa kukosewa na yakaleta maana nyingine kabisa. eg Tafadhari husichukue ile gali ya wakiri (Tafadhali usichukuwe lile gari la wakili)Ila lugha huwa ina tabia ya kubadilika kilingana na vizazi. Maneno ya lugha ya kiswahili ya miaka ya 1980 mengi yamebadilika
Nyimbo vs WimboSiku hizi wavivu wa lugha hawaandiki au kutamka tena
Sebule- wanasema seble
Muziki- wansema mziki
Muda- wansema mda!
Lahaja za kimaeneo. Kiswahili cha mtu wa kanda ya ziwa nitofauti na mtu wa kusini. Vile vile ni tofauti kati ya pwani na kaskazn. Mfano kanda ya ziwa maneno kama usichukue wanasema husichukuwe [wasukuma] maneno kama lala watasema rara nkNi kweli. Ila kuna maneno kubadilika na maneno kuharibiwa kwa kukosewa na yakaleta maana nyingine kabisa. eg Tafadhari husichukue ile gali ya wakiri (Tafadhali usichukuwe lile gari la wakili)
Kuandika hakuna uhusiano wowote na lahaja hasa kwenye nchi moja. Ndiyo maana kuna shule za kujifunza ili tu-harmonize namna lugha inavyoandikwa. Tanzania tumekubaliana namna ya kuandika maneno ya kiswahili ili tuwe na standard ya aina moja, kuondoa migongano.Lahaja za kimaeneo. Kiswahili cha mtu wa kanda ya ziwa nitofauti na mtu wa kusini. Vile vile ni tofauti kati ya pwani na kaskazn. Mfano kanda ya ziwa maneno kama usichukue wanasema husichukuwe [wasukuma] maneno kama lala watasema rara nk
Ndan ya nchi moja lahaja zipo tu. Ndio maana nimekupa mfano. Kwa maana lahaja huwa zao la lugha mama. Mpare ni ngumu kutofautisha tha na sa msukuma u ataweka hu nkKuandika hakuna uhusiano wowote na lahaja hasa kwenye nchi moja. Ndiyo maana kuna shule za kujifunza ili tu-harmonize namna lugha inavyoandikwa. Tanzania tumekubaliana namna ya kuandika maneno ya kiswahili ili tuwe na standard ya aina moja, kuondoa migongano.
Wewe unazungumzia lafudhi na siyo lahaja. Hili la kushindwa kutamka maneno ni eneo la lafudhi. Lafudhi inaathiriwa na asili ya mzungumzaji na mara nyingi huathiriwa na lugha ya kwanza ya mzungumzaji eg kisukuma. Wakati Lahaja ni lugha inayozungumzwa katika eneo fulani au na kikundi fulani cha watu, yenye tofauti kidogo au kubwa katika matamshi, msamiati, na sarufi. mfano kiswahili cha Unguja na kiswahili na Kilimanjaro. Bottom line ni kuwa shuleni tunakwenda kusoma kiswahili sanifu, hivyo basi kama nchi yetu ilivyo na mtaala mmoja wa kiswahili, hakuna excuse ya kukosea maneno kwenye kuandika. Unaweza kukubali makosa kwenye matamshi lakini siyo kuandika.Ndan ya nchi moja lahaja zipo tu. Ndio maana nimekupa mfano. Kwa maana lahaja huwa zao la lugha mama. Mpare ni ngumu kutofautisha tha na sa msukuma u ataweka hu nk
na ww mbn umerudi kulekule mkuu..litamke vzur hilo nenoNi heri hayo seble, mziki na mda
Sio Xeble, xhule, ixhu aaah kmmk walah nachukia hii lugha