Maneno ya Rais wa Tunisia ni dharau kwa Waafrika

Sijakuelewa msomi unazungumzia nini katika hili lililopo mezani
 
hapa hapa tanzania kuna ubaguzi mkubwa sana watu weusi kuwabagua watu weupe, lakini wao wakiwabagua weupe kwao ni sawa wakibaguliwa kelele nyiiingi mpaka zinafika mbinguni
Ubaguzi ni ubaguzi hauna tofauri.Karibu uchangie msomi
 
Eti hilo ni kosa?
Nadhani wanalinda race yao dhidi ya wahamiaji weusi na alichokosea raisi kusema watu weusi kutokea sub sahara countries wanaleta unacceptable religion,cultures,values,crimes kwa watunisia na wana mpango wa kuifanya tunsia kua purely african.Hakushutumu illegal migrants kutoka Syria,Afghanistan,Iraq,Libya,Lebanon.Bali alishutumu illegal migrants wa sub sahara countries pekee.Ndio watu wakaandamana kumpinga
 
Ulipokosea ni hapo tu kwenye dini zao. Hiyo dini kwa mujibu wa kitabu cha muongozo wa dini yao ni kwamba hawatakiwi kubaguana kwa rangi,kabila wala eneo la kijiografia. Tukemee ubaguzi wao lakini tusihusishe dini yao kwenye ubaguzi.
 
Akifanya mwafrika ( mtu mweusi) kwa mtu mweupe haisemwi wala kusikika kuwa ni ubaguzi ila akifanya mweupe kwa mweusi inakuwa habari kubwa! Kiufupi hakuna mtu mbaguzi kama mtu mweusi, yaani anajibagua mwenyewe na kubaguana kimakabila, kidini, kistatus, kiukanda, kiundugu na mengi mengine....kimsingi sioni sababu ya kulia wala kulalamika pale unapojikuta katika ubaguzi ....inapotokea jua sio mahali pako ondoka au pambana uchaguzi ni wako.
 
Watu weupe wanalalamika pia mkuu.Nimeishuudia marekani na afrika kusini na hata namibia na hata chad na mali raia wenye asili ya kiarabu walikua wanalalamika kubaguliwa mkuu.
sio kweli sisi ndio wenye tabia mbaya kama hizo mala azam anatubagua mala mo mala mala upumbafu mtupu
 
One day, in Mecca, the Prophet Muhammad dropped a bombshell on his followers: He told them that all people are created equal.

“All humans are descended from Adam and Eve,” said Muhammad in his last known public speech. “There is no superiority of an Arab over a non-Arab, or of a non-Arab over an Arab, and no superiority of a white person over a black person or of a black person over a white person, except on the basis of personal piety and righteousness.”

Nimejaribu kunukuu kuhusu dini yao vs ubaguzi
 
Ulipokosea ni hapo tu kwenye dini zao. Hiyo dini kwa mujibu wa kitabu cha muongozo wa dini yao ni kwamba hawatakiwi kubaguana kwa rangi,kabila wala eneo la kijiografia. Tukemee ubaguzi wao lakini tusihusishe dini yao kwenye ubaguzi.
Msomi vitabu vyote vya dini vinaruhusu ubaguzi na utumwa.Ndio maana kuna maneno kama KAFIR,WATEULE katika vitabu vyao
 
Mkuu huyo adamu alikua wa rangi gani kwa mujibu wa maelezo ya hivyo vitabu.Afu angalia kwenye hivyo vitabu jinsi wanavyoelezea asili ya mtu mweusi.Ndio utajua waanzilishi wa imani hizo kama hawakua wabaguzi kwa wengine.
 
Adam hata kama angekuwa ni mweusi au wa kijani lakini siyo sababu ya kubaguana.
 
Mkuu huyo adamu alikua wa rangi gani kwa mujibu wa maelezo ya hivyo vitabu.Afu angalia kwenye hivyo vitabu jinsi wanavyoelezea asili ya mtu mweusi.Ndio utajua waanzilishi wa imani hizo kama hawakua wabaguzi kwa wengine.
kwani kusema adamu alikuwa rangi fulani huo ni ubaguzi?tatizo la watu wesi hawataki ukweli ukiambia mweusi wewe unachukia mbona muarabu mchina tukiwata weupe awasemi tunawabagua
 
Mtu mweusi ni muhanga wa ubaguzi duniani kuliko jamii yoyote ile duniani.Wale walioandamana na kulalamika mjini tunis kupinga kauli hiyo ya Mh Kais hawakua watu weusi msomi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…