Maneno ya Rais wa Tunisia ni dharau kwa Waafrika

Wote malcom x na martin luther walifeli sababu walikua watumwa wa dini na siasa za watu weupe wa mashariki na magharibi.Hata majina yao waliyokua nayo na waliyoyatumia baadae unaona hayakua ya kiafrika
 
Wote malcom x na martin luther walifeli sababu walikua watumwa wa dini na siasa za watu weupe wa mashariki na magharibi.Hata majina yao waliyokua nayo na waliyoyatumia baadae unaona hayakua ya kiafrika
Malcolm X hakuna alipofeli kwa sababu alifanikiwa kuunganisha watu wa dini na rangi zote baada ya Safari yake ya Makka ,ndio maana nikaweka ushahidi wa maneno yake ,kuhutubia kanisani ,watu waliokuwa ndani ya Chama chake kipya vilevile wasomi wengi tu hakuna na wachambuzi wa kimataifa hakuna hata mmoja anayesapoti mawazo yako ndio maana anakubalika na watu wote mpaka leo hii.

Na wangemuacha alikuwa anakuja na kasi ya ajabu maana Malcolm X wa zamani watu walishaishika nae ila walishindwa kujiunga na kumsapoti jumla jumla kutokana na kuwa na siasa za ubaguzi ila mpya baada ya Hija Makka mitazamo wake ulikuwa kuunganisha wote bila kujali tofauti zao na alipata uungwaji mkono Duniani na watu wote kea muda mfupi sana .
 
Mimi MLK Sijafuatilia sana hivyo kwake siwezi kuchangia maana sina uthibitisho,ila Malcolm X hakufeli na mbona unakuwa mbishi unang'angania alivutia wamarekani waislamu bila ushahidi ? wakati mimi nimeweka ushahidi wanachama wake na supporters kutoka kwa wasio waislamu tena wengi na documents na info zipo wazi mitandaoni na vitabuni halafu bado unakuwa mbishi kijinga kabisa.

Harakati hazikufeli kabisa Malcolm X aliwawa akiwa katika peak ya ushawishi wa kila watu Marekani na nje ya Marekani .
 
Maelezo yako ni kama ya mtoto wa chekechea au shule ya msingi hakuna facts wala uthibitisho.
Msomi unaukwepa ukweli.Malcom x na martini luther walifeli sababu waliwagawa wamarekani weusi kwa msingi ya dini za kikrsto na uislamu.Ndio maana vision zao hazikufikia malengo.
 
National of islam ya elijah muhamad na malcom x waliwatenga wamarekani weusi waliokua sio waislamu msomi.Au hujui kua hiyo ilikua taasisi ya kidini zaidi kuliko kisiasa.Malcom x hakuwa na ushawishi kwa wamarekani weusi wakrsto na Martin luther hakuwa na ushawishi na wamarekani weusi ambao walikua waislamu na member wa national of Islam alipokua anatokea malcom x na elijah muhamad.Au msomi hilo hulijui pia
 
Hakuunganisha watu wa dini mbalimbali na kuhutubia kanisani sio kigezo cha kuunganisha watu.Alikua anaungwa mkono na watu wenye mtazamo wa kisiasa na kidini kama yeye mostly member of national of muslim.Wamarekani weusi na waafidhina wa kikrsto na member wa makanisa ya kiluther na kipentekoste hawakumuunga mkono.Ukweli waga watu wanauogopa,waafrika ukiwaletea dini umewatenganisha na sio kuwaunganisha
 
Maelezo yako ni kama ya mtoto wa chekechea au shule ya msingi hakuna facts wala uthibitisho.
National of islam na malcom x waliupigia promo uislamu na arab nazation kwenye harakati zake za kisiasa na Rev Martin luther jr aliupigia promo ukrsto na west nazation kwenye harakati zake za kisiasa.Ndio maana wote walifeli kuwaunganisha wamarekani weusi.
 
Haya nenda kashoboke nchi za Waarabu ukifirwa uje ulie hapa
Wasomi waga hatuna lugha za matusi kwenye kutoa hoja au kuchangia hoja .Matusi ni dalili ya udhaifu wa akili,kiwango kidogo cha kuelimika na mihemuko ya kushindwa kuhimili hoja kizani.
 
Kama nchi yake imo katika bara la Afrika, yeye anataka aitwe nani? Anajidhalilisha mwenyewe. Hataki uafrika, ahame.
 
Wasomi waga hatuna lugha za matusi kwenye kutoa hoja au kuchangia hoja .Matusi ni dalili ya udhaifu wa akili,kiwango kidogo cha kuelimika na mihemuko ya kushindwa kuhimili hoja kizani.
sio matusi, unafirwa kweli, hujawahi kusikia wanachofanyiwa wafanyakazi huko Uarabuni? Qatar,. saudi Arabia, lebanon, mbona kesi zipo kibao tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…