Maneno ya Rais wa Tunisia ni dharau kwa Waafrika

Nation of Islam ule haukuwa uislamu ndio maana uliachwa uenee sababu 90% ulikuwa ni upotoshaji na kinyume na uislamu na haukuwa ukipigia promo uarabu ndio maana Malcolm X alikuwa akienda kwenye midahalo vyuoni akikutana na Waarabu walikuwa wanamshauri aachane na huo upotofu na ausome uislamu wenyewe.
 
Kila mara unaweka NOI wakati Malcolm alikuwa na uadui na NOI na ndio hao waliomua kea kushirikia na NYPD na CIA .
 
Walimu wako walipata Kazi sana kukuelewesha tokea mwanzo nimeeleza kuwa Malcolm unayemzunguza aliacha na NOI ilivyokuwa na mitizamo ya ubaguzi wa kidini na rangi kabla ya kifo chake kisha akaanzisha organization mpya yenye misingi na itikadi tofauti na NOI ya Elijah Muhammad ambayo ilikubakika na watu wote na kupata ushawishi mkubwa ulimwenguni na Marekani kwa muda mfupi ndio maana wakamuwahi chap maana hiyo organization mpya ilikuwa inaungwa mkono na watu wa makundi yote na kupata sapoti kubwa ndani ya muda mfupi..

Nb:Ninayosema yapo kwenye vitabu , documentary ,clps na documents mbalimbali .
 
Malcom x hakukubalika na wamarekani weusi wa madhehebu ya kikrsto na waafidhina wengi wa kipentekosite hasa majimbo ya kusini.Ndio maana alishindwa kuwaunganisha wamarekani weusi wote.Walimuona ameacha uafrika na kuuchukua uarabu mpaka jina.Alifeli kama alivyofeli martin Luther katika kuwaunganisha wamarekani weusi
NB :Ninayosema mimi ni maoni halisi ya wamarekani weusi waliokua wanaishi majimbo ya kusini miaka ya 1960,s
 
Kila mara unaweka NOI wakati Malcolm alikuwa na uadui na NOI na ndio hao waliomua kea kushirikia na NYPD na CIA .
Huwezi kumtenganisha malcom na National of islam.Ndio waliomkuza na wakampa itikadi za kidini
 
Elijah muhamad alifundishwa na waarabu huo uislam.Na malcom mpaka anakufa aliamini katika arab naization na sio africanism.Ndio maana alijibatiza mpaka majina ya kiarabu
 
sio matusi, unafirwa kweli, hujawahi kusikia wanachofanyiwa wafanyakazi huko Uarabuni? Qatar,. saudi Arabia, lebanon, mbona kesi zipo kibao tu
Wasomi kama sisi ukitutukana tunajua tu ni njaa na ukosefu wa ajira na msongo wa mawazo basi unamalizia hasira zako Jamii forum.Endelea kutukana ukimaliza tuma namba yako ya simu nikusaidie hela ya kula mdogo wangu.
 
Ni basi tu waligawa haya mabara kwa mipaka ya bahari ila naona kama walikosea. Kuna nchi ziko huko america na ulaya zilipaswa ziwe huku Africa. Huyo president namwelewa vizuri sana
 
"Kukariri"

Cha kuongezea, huyo Rais, kajumuisha watu wote weusi kwamba wewe mkushi na sio bushman yeye hajali.
 
Yuko sahihi. Nchi ni yao wana haki ya kuamua utaratibu wao. Hapo Kenya wameandamana kuwapinga Wachina haionekani kama ubaguzi ilihali nao ni ubaguzi tu.
Kuweka kodi kubwa kwa bidhaa kutoka nje ya nchi, nayo ni ubaguzi!?
 
Kwa ufupi mtu yyt aliyezaliwa kando kando ya bahari hana asili ya afrika.

Na kama mtoa mada anataka turudi ktk tamaduni wa kiafrika basi aanze kuvaa magome na nguzi za wanyama
 
Wasomi kama sisi ukitutukana tunajua tu ni njaa na ukosefu wa ajira na msongo wa mawazo basi unamalizia hasira zako Jamii forum.Endelea kutukana ukimaliza tuma namba yako ya simu nikusaidie hela ya kula mdogo wangu.
Mimi sijakutukana, nimekuambia acha shobo na waarabu utakuja kufirwa, sio tusi ni tahadhari
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…