Maneno ya Rais wa Tunisia ni dharau kwa Waafrika

Uislamu na uarabu ni vitu viwili tafauti.
Umewahi kuona mwarabu ni dini nyingine tofauti na uislam? Waarabu ndiyo wamiliki wa uislam na ndiyo maana ile kitu ya kumpigia sheitwaan mawe iko uarabuni na waislam huenda huko kuhiji. Wengine ni wahanga tu wa kuabudu mila na desturi za kiarabu (dini)
 
Kwanin hawapo kwenye umoja wa ulaya?
 
Huwa inashangaza sana! Unakuta mwafrika mweusi tii na nywele fupi za kibantu gari yake kabandika stika islam is my dean bila aibu. Kwa mwarabu ni sawa na inapendeza maana ni dini yao ya asili. Cha ajabu zaidi waafrika kwa waafrika wanagombana kwa ajili ya hiyo dini kama wale waafrika wabantu kule kaskazini mwa nigeria wanatia aibu afrika
 
Ufaransa ni nchi ya ulaya yenye waafrika weusi wengi. Hao weusi nao ni watu wa ulaya, tena wapo huko na dini yao. Kwa hiyo afrika ina mataifa yasiyo ya kiafrika ni mataifa ya kiarabu yaliyopo afrika
 
Ufaransa ni nchi ya ulaya yenye waafrika weusi wengi. Hao weusi nao ni watu wa ulaya, tena wapo huko na dini yao. Kwa hiyo afrika ina mataifa yasiyo ya kiafrika ni mataifa ya kiarabu yaliyopo afrika
Mataifa ya afrika kaskazini yanadai wao sio pure african kama alivyosema mh raisi kaisi sababu kwa wao ukisema afrika sio bara bali ni watu wenye ngozi nyeusi.Kuhusu ufaransa ni kama unavyoona marekani,kuna mchanganyiko wa watu wengi wahamiaji na waliozaliwa huko na wote wanakubalika.Ulaya ni tofauti na afrika au asia
 
Uislamu na uarabu ni vitu viwili tafauti.
Hapana mkuu huwezi kuutenganisha uislamu na uarabu.Kwanza vitabu vya dini ya kiislamu vimeandikwa kwa lugha ya kiarabu,wanasali dua zao kwa lugha ya kiarabu,mungu wa waislamu ana majina ya kiarabu,mwanzilishi wa dini ya kiislamu alikua mwarabu,mavazi ya itikadi za kiislamu yamejinasibisha na tamaduni za kiarabu na maeneo yao matakatifu yapo uarabuni na hata majina ya wafuasi wa dini ya kiislamu lazima yawe ya kiarabu mfano mzuri jina lako mkuu.So huwezi kutenganisha uislamu na uarabu kua mkweli tu msomi mwezangu
 
Upo sahii msomi ila mada ilikua issue ya tunisia.
 
Msomi kuna kitu sijui unakikwepa au sababu ya imani yako unaogopa kukijadili ila tuwe wakweli tu.Hizi dini mbili ukristo na uislamu zilibuniwa na watu wa hapa duniani alianza Yesu na baadae akafuata Muhamad na ndo maana mungu wa waislamu anaitwa kwa jina la kiarabu Allah na mungu wa wakristo anaitwa kwa kiyahudi Yehovah na mwanae Yesu.Huwezi kuitenganisha dini ya kiislamu na uarabu na huwezi kuitenganisha dini ya kikristo na uyahudi.Hata wafuasi wa dini ya kiislamu wanajinasibisha na uarabu na wafuasi wa dini ya kikristo wanajinasibisha na uyahudi.
 
Vipi wazungu sio wabaguzi?
Wazungu wabaguzi pia ila ubaguzi wao ni tofauti kabisa na watu wa middle east.Ukiishi nchi yoyote ya middle east na ukiishi nchi yoyote ya ulaya utaelewa nachosema
 
raisi wa tunisia ni mfano wa kuigwa katika marais wa afirika kwanza alifuta bunge mahakama akabaki na bunge tu kisha katengeneza katiba inayo watambua walahoi wasio jiweza kulipwa posho ya kujikimu kila mwezi
Nina wasiwasi na uelewa wako wa siasa za tunisia.Nadhani unajibu kishabiki zaidi kuliko kama msomi na mchambuzi wa siasa za afrika kasikazini.
 
waarabu walioko ufaransa ni wengi sana walisha zaliana na wafaransa tatizo watu weusi atushi kulialia kutafuta huluma kwa watu weupe kala mala waarabu wanatubagua wanawabaguaje wamechuka utawala wenu wanchi?
Msomi ushawahi kuishi ufaransa au unaongea tu?????Ufaransa kuna jamii za machotara wa kiarabu na wazungu,kuna jamii za machotara wa kiarabu na waafrika na kuna jamii za machotara wa kizungu na kiafrika.Na kuna jamii za waarabu watupu na kuna jamii za waafrika watupu.Lakini jamii yenye nguvu kiuchumi,kisiasa ni wazungu pure wa asili ya pale na ndio wengi na wenye nchi na wabaguzi pia hasa katika siasa za mlengo wa kushoto.Kakae paris au mji mwingine wowote ule ufaransa uone jamii za kiarabu za wazawa na wahamiaji zinavyolalamikia ubaguzi kuliko jamii za waafrika.
 
ukweli gani alio usema hapa kazi kulalama tu tunabaguliwa tunabaguliwa hao wazungu wasio wabagu sindio walio wakata vichwa watemi wetu? sindio walio watenga watu weusi kule amerika dawa sio kulia lia chukua hatua
Msomi changia hoja kama msomi mwenye uelewa wa mambo ya siasa za duniani acha kujibu hoja kama watoto waliopata degree mwaka jana jinsi wanavyojibu hoja.Ukiweka hisia za nasaba za kidini,huwezi kuchangia hoja katika mada kama hizi msomi
 
Upo sahii msomi na hii ndio sprit waafrika wanatakiwa waijue.WAITAMBUE
 
Elijah muhamad alifundishwa na waarabu huo uislam.Na malcom mpaka anakufa aliamini katika arab naization na sio africanism.Ndio maana alijibatiza mpaka majina ya kiarabu
Hapa nakutoa maana rasmi maana unaongea vitu pasipo na ujuzi labda mijadala ya vijiwe vya kahawa itakufaa zaidi .

Elijah Muhammad hakufundishwa na Waarabu bali na Wallace D Fard ambaye yeye alidai kuwa huyo ni Allah amekuja duniani kwa umbile la mwanadamu kuukomboa ulimwengu na kumkabidhi yeye Elijah Muhammad Utume jambo ambalo ni kinyume na uislamu na angeenda nchi za kiarabu na itikadi yake hiyo angeuwawa.View attachment 2535323

NB: Rasmi sasa nakupuuza maana kwa levo ya ujinga na upumbavu uliyofikia haustaili tena kujadiliana na watu wanaojielewa ,mtu jambo hauna ujuzi nalo unajivika usemaji na kushupalia kama mtalaamu #PoorYou

Nelson Jacob lushasi
[/QUOTE]
MKUU USIKATAE UKWELI IDEA ZOTE ZA UISLAMU NA MUNGU ANAYEITWA ALLAH ELIJAH MUHAMMAD ALAZITOA KWA WAARABU AKACHANGANYA NA ZAKE NA AKAANZA KUFUNDISHA WATU.TATIZO LAKO UNAISHI KWENYE VITABU NA KUAMINI WAANDISHI WA VITABU WAKATI WAO NI BINADAMU NA WANA UTASHI NA MAPENDEKEZI YAO.TOFAUTI NA WATU KAMA SISI AMBAO TUMEZUNGUKA DUNIA NA KUUONA UHASILIA NA SIO KUAMINI KILA KITU KINACHOANDIKWA NA WAANDISHI WA VITABU.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…