LOTH HEMA
JF-Expert Member
- Dec 6, 2015
- 18,611
- 27,615
Umewahi kuona mwarabu ni dini nyingine tofauti na uislam? Waarabu ndiyo wamiliki wa uislam na ndiyo maana ile kitu ya kumpigia sheitwaan mawe iko uarabuni na waislam huenda huko kuhiji. Wengine ni wahanga tu wa kuabudu mila na desturi za kiarabu (dini)Uislamu na uarabu ni vitu viwili tafauti.