Maneno ya Simba kabla ya jana kuhusu Yanga

1. Hamuwezi mechi za kimataifa
2. Medali ya kombe la looser
3. Huku ni ligi ya Mabingwa bhana
4. Sio Shirikisho huku.

NB
Nasubiri update ya misemo mipya baada ya hii
Kwani nyie kabla simba hajaenda ivory coast mlikuwa mnasemaje?
 
1. Hamuwezi mechi za kimataifa
2. Medali ya kombe la looser
3. Huku ni ligi ya Mabingwa bhana
4. Sio Shirikisho huku.

NB
Nasubiri update ya misemo mipya baada ya hii
Halafu hiyo namba 2, wa kombe la looser wote hawa hapa yupo nao kundi moja..!!



Dunia ni nyokolo haswaaa..!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…