Maneno ya Simba kabla ya jana kuhusu Yanga

Mimi ni kolo kindakindaki daah tunateseka jamani.

Hapa na type huku natetemeka mikono.

Daah Yanga mnapata raha sana.
Wewe kweli kolo, ingekuwa mshabiki wa simba ningeshangaa sana maana simba haina mashabiki jamii yenu mnatetemeka kwa vitu vidogo, yule mablich yupo icu kwa utamu wa robo
 
Kwa mjibu wa CAF Yanga ni mara yao ya kwanza kuingia robofainali ya CAF CL tangu kuanzishwa kwa mashindano haya.

Kama simba atafanikiwa kuingia mwaka huu , itakuwa ni mara yake ya tano.

Kwahiyo tutegemee hizi mada kuletwa humu jf kila sekunde na Wana Yanga Maana ni kama vile hawaamini kwamba ipo siku na wao wangefika hii hatua.
 
Wewe kweli kolo, ingekuwa mshabiki wa simba ningeshangaa sana maana simba haina mashabiki jamii yenu mnatetemeka kwa vitu vidogo, yule mablich yupo icu kwa utamu wa robo
Ukumbuke pia Simba na Nkana ulikufa kiongizi baada ya Simba kutanguliwa na goli la Water Bwalya pia Simba na As vita iliua Kiongozi wa Tawi la Keko. Kwaiyo Si jambo jipya na halichagui timu.
 
Chezea robo wewe , nusura afe.Ndiyo wajue robofainali siyo mchezo
 
Ukumbuke pia Simba na Nkana ulikufa kiongizi baada ya Simba kutanguliwa na goli la Water Bwalya pia Simba na As vita iliua Kiongozi wa Tawi la Keko. Kwaiyo Si jambo jipya na halichagui timu.
Ila kwao sasa hivi ni jambo la kawaida. Au siyo?
 
Kuna jamaa yangu wa simba amejifungia ndani baada ya magoli mawili ya mfululizo. Sijui kajinyonga maana hata simu haipokelewi🤣🤣🤣
Hahahaha 🤣🤣 hahahaha....kafunge turubai tu.
 
1. Hamuwezi mechi za kimataifa
2. Medali ya kombe la looser
3. Huku ni ligi ya Mabingwa bhana
4. Sio Shirikisho huku.

NB
Nasubiri update ya misemo mipya baada ya hii
Saw sawa jamaa ndio wanaongoza kwa kuandika Pumba humu...wakumbushe mbumbumbu hao
 
Wewe kweli kolo, ingekuwa mshabiki wa simba ningeshangaa sana maana simba haina mashabiki jamii yenu mnatetemeka kwa vitu vidogo, yule mablich yupo icu kwa utamu wa robo
Wewe ile siku ya 5G tarehe 8 nilikuwa nimeketi jirani na shabiki wa Simba alishindwa kujihimili na kuzimia kwenye kibanda umiza tukaanza kumpepea na kumtoa nje kwenye hewa.
 
Wewe kweli kolo, ingekuwa mshabiki wa simba ningeshangaa sana maana simba haina mashabiki jamii yenu mnatetemeka kwa vitu vidogo, yule mablich yupo icu kwa utamu wa robo
Tuache utani kolowizard mwenzangu.

Sijui tutawatambia nini Yanga.

Mana kile kichaka chetu cha robo fainali kama mafanikio kimeshapigwa fyekeo.

Na wakitinga nusu fainali tu basi tena tutakuwa hatuna cha kuwatambia zaidi ya ile WhatsApp channel yetu.

Yani yanga wanapata raha sana na timu yao sisi tunakonda tu.

Kama vipi tuamie Yanga kolo mwenzangu kwanini tukonde huku MO anapiga pesa tu.
 
Back
Top Bottom