Sisi kazi yetu ni kukopi na kupaste. Hakuna utaratibu kila waziri analeta mawazo yake. Huyu sasa kakaa muda mrefu madudu yake yatafumuliwa akiondoka. Mara divisheni mara GPA, mara kubadili dividheni mara scantron.
Mara TCU inadahili mara vyuo vyenyewe, mara pivate schools hakuna kufukuza wanao fail mara hakuna kurusha madarasa, mara ada elekezi mara elimu bure, mara wazazi changieni chakyla cha watoto wenu, mara paap kumekuchwa...ili mradi matamko kumridhisha mkuu.
Hii serikali wakitoka, utasikia huu mfumo mbovu hahaha.