Maneno yaliyoandikwa kwenye geti la kuingia Chuo Kikuu cha Cape Town, yana funzo kubwa!

Maneno yaliyoandikwa kwenye geti la kuingia Chuo Kikuu cha Cape Town, yana funzo kubwa!

Elimu ya tanzania inasikitisha sana, walimu kichwani hamna kitu wanafunzi wanawaza mapenzi na mavyuoni ni hivyo hivyo
 
Ni ujumbe mzuri, japo umeandika ki Malisa Malisa kana kwamba wana JF wote hawapafahamu UCT. Huenda yamendikwa pengine si kwenye lango la kuingilia au labda ni majuzi yamewekwa.
 
sasa hivi kufaulu Std7/ Form4 ni very simple...
huko vyuoni ndio kumejaa watu wasiojitambua
Kweli kabisa naishi karibu na chuo fulani huku Morogoro hao wanafunzi huwa wananishangaza tabia zao hadi najiuliza "hawa ndio wataenda kikabidhiwa maofisi"?!
 
Oral examinations na practicals ndio zilikua zinanifanya nisome wakati niko chuoni,.
Oral examination ya kwanza nilifanya nikiwa std 7 wakati nafanya mtihani wa kujiunga na Seminary.Ni mfumo mzuri sana wa kutahini
Mkuu hizi oral examinations ujue ndizo zilinikimbiza BVM aisee!!
 
Kama wanataka watoto wapate elimu bora na kufanya mageuzi makubwa kabisa ya Elimu, WAFUNDISHE WANAFUNZI KWA KIINGEREZA KUANZIA SHULE YA MSINGI.

Nina uhakika mtoto wa miaka minne akifundishwa kiingereza ana uwezo wa kukimudu vizuri kabisa hata kama amezoea lugha mama yake.

Lazima ifike mahali kama nchi ichukue maamuzi magumu ya kunusuru elimu hii.

Nimeshuhudia watu vyuoni hawawezi hata kuzungumza maneno matatu ya kiingereza, seriously!!!!???

Hivi gharama ya kubadilisha mitaala ya shule ya msingi kutumia kiingereza ni kubwa kuliko gharama ya kulea na kutengeneza ujinga?

Ni bora kuchukua gharama ya kuwaajiri waalimu wapya wanaojua kiingereza wakawafundisha wanafunzi, kuliko kukiua kizazi hiki!!
 
Shule yetu ya Kata hapa mjini imerundika watoto 3000 kwenye miundombinu ya watoto 400 sasa hivi wanasoma kwa shift, mwakani tunategemea "Zero" (isome kama kiswahili) 300. Hii ndiyo elimu bila malipo,, halafu mipumbavu inazuia shule za private zisikaririshe ng'ombe!
Hahhahaghaa....

Manager wa Shule punguza Jazba.
 
Elimu ya tanzania inasikitisha sana, walimu kichwani hamna kitu wanafunzi wanawaza mapenzi na mavyuoni ni hivyo hivyo
Mkuu walimu hawana kitu kivipi ilhali ufaulu unapanda kila mwaka..
Subiri ya form four next week ushuhudie maajabu.
 
Back
Top Bottom