Maneno yaliyoandikwa kwenye geti la kuingia Chuo Kikuu cha Cape Town, yana funzo kubwa!

yani kma nilikua sijanunuliza vifaa vya ujenzi ni hapohapo nawapangisha foleni unasaini unapewa cha kwako hiyo yote ni kwa faida yao kama wanaona ni hasara unaachana nao wasubiri serikali iwajengee
Pesa isha nunulua tofali tayari hadi wananchi wanataka kupiga viongozi,siasa mbaya sana kwakweli.
 
Oral examinations na practicals ndio zilikua zinanifanya nisome wakati niko chuoni,.
Oral examination ya kwanza nilifanya nikiwa std 7 wakati nafanya mtihani wa kujiunga na Seminary.Ni mfumo mzuri sana wa kutahini
Ilikuwa nzuri sana hyo mkuu, miaka hii hakuna. Ivo elimu inazidi kuzalisha watu wenye vyeti tuu, na sio wenye ujuzi.
 
Huwezi kuwa na elimu bora iwapo wale wanaofundisha na wanaofundishwa hawaelewi kikamili lugha inayotumika kujifunzia.
 
sasa hivi kufaulu Std7/ Form4 ni very simple...
huko vyuoni ndio kumejaa watu wasiojitambua
Mtoto hajui kusoma wala kuandika kiswahili ila anafaulu kujiunga na elimu ya sekondari!!! Inasikitisha.
 
Kweli kuna tatizo kubwa hapa la phd fake
 
Picha tafadhari maana naona maneno mengi sana hayo kukaa kwenye Bango au yameandikwa kimombo ndio umetafsiri?
 
Hicho ndio ilichotufanyia sisiem kwa miaka yote. Utakuta tamko linatolewa na kiongozi kuwa michango aina yoyote ni marufuku mashuleni!! Huku akijua fika serikali yake haiwezi peleka chakula wala fedha ya kutosha kuendesha shule hizo, mbaya zaidi huko nje kuna mabumbumbu na mazuzu kazi yao kushangilia tamko hizi
 
Mtoto hajui kusoma wala kuandika kiswahili ila anafaulu kujiunga na elimu ya sekondari!!! Inasikitisha.
kuna binti huku kwetu kafaulu Form5 mama ake hajampeleka shule maana hata what is biology hajui
akaona uwongo huu, yani msichana hajielewi hata¼
 
Divide And Rule
✌✌


Mahakama Bado Haijatoa Tafsiri Ya Neno "Uchochezi "
 
Siasa katika elimu ni mbaya sana,nimeshuhudia watu wajinga sana wakiwa vyuoni hadi nikaanza kujiuliza kama walifikaje vyuoni,ni wajinga ajabu,chakushangaza wanakariri nakufaulu mitihani na mwishowe kusubiri ajira waende makazini.
 
Maneno kuntu, elimu ndiyo msingi wa maendeleo katika nyanja zote.
 
mkuu una uhakika na hayo? wewe umesoma hesabu? kuchagua ni kubaya, mbona vyuo vikuu yapo na watu hawafaulu!
Hao unaosema hawafaulu maswali yakuchagua wengi wao hawakariri past papers,kwenye kukariri ma-past paper wengi hufaulu nakujiaminisha kua wanaweza ilhali ni wajinga tu hawana chochote,ukiwabana watetee walichokipata wengi wao hawawezi.
 
Maprofesa lindi hapo UDSM wameshindwa kuwekeza hapo mlimani city.....

Ova
 
nimecheka sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…