Mange adai anafuatiliwa na 'Watu wasiojulikana'

Easy sana kujua nyumba mtu anaishi nchi aliyopo Mange. Ugumu upo kwenye kumdhuru na usijulikane au kudhurika na wewe mwenyewe. Cameras and guns everywhere, usipokua navyo hivyo vitu viwili majirani zako wanavyo.
Kama serikali ya marekani ndio imemtuma muuaji anaweza asijulikane pia.
 
Kwani hamna camera kwake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…