Leo kakamatika badala ya kujibu tuhuma zake anaanza kumalizia wengne hasira akina linda na.chaga baby badala arekebishe mambo anatukana matusi wakati mwenyewe ana watoto ni shida hao.wanamsifia upuzi tu.wakienda kisheria ataumia
Husninyo nae kapiiiiiiitwaaaa
Haya nakupa cha kulalia
Kwa umbea zaidi nenda ig
Gnt[/QUOT
BADILI TABIA kumbe nawe mbea kama sie kina binamu eeh
Husninyo nae kapiiiiiiitwaaaa
Haya nakupa cha kulalia
Kwa umbea zaidi nenda ig
Gnt[/QUOT
BADILI TABIA kumbe nawe mbea kama sie kina binamu eeh
Kwani siameolewa sasa anahangaika na kutafuta pesa kwa Njia hii.
Hehehe Leo inaitwa kukamatwa red handed. Tuliambiwa juzi na Lara kwamba kuna surprise inakuja ya hollywoodshopaholic tukae mkao wa msuto....badala yake wao Ndio sura zimewaparama Leo kwa shushu..
Kwani siameolewa sasa anahangaika na kutafuta pesa kwa Njia hii.
mume.analipwa kima cha chini lazima achakarike u know lol
Kwani siameolewa sasa anahangaika na kutafuta pesa kwa Njia hii.
Anavyohangaika utafikiri hana mme bora we Natalia umetulia na mumeo mshauri huyo mwenzio
Kasema yeye ni mtafutaji kuanzia 2003 na miss indian ocean ingawa dady yake alikuwa ana mpa kila kity hata kwa hubby wake anaweza tu kukaa asifanye chochote mana ana kila kitu ila yeye ni mchakarikaji hawezi kutulia home
Life is very simple but we human tend to be complicated.angeyamaliza na Huyo dada basi yaishe sasa Yaani oh my God it is very stressful.I have one principle in life " nimezaliwa bila kitu na nitakufa bila kitu". If your a compassion person success will follow you .Be nice usishindane na baraka za mtu mwingine .Hapa nilipo sina instagram tweeter wala Facebook nipo busy na familyAnavyohangaika utafikiri hana mme bora we Natalia umetulia na mumeo mshauri huyo mwenzio
Mamaeer umepitwaa au ulikuwepoooo, mange mashauzi leo kasahau hadi kuweka picha ya hubby ake
Kwani siameolewa sasa anahangaika na kutafuta pesa kwa Njia hii.
mwenyewe kasema hajazoea kukaa home
Mamaeer umepitwaa au ulikuwepoooo, mange mashauzi leo kasahau hadi kuweka picha ya hubby ake
HAHAHAAAAAAA! We humjui mange! Kasoma Arusha, Zimbabwe, USA, UDSM, DUBAI, una lingine? We umesoma wapi?yaani yule mange sijui mangii mswahili balaaa yani hapo ndo kasoma arusha zambia na ud mama angu angesoma kayumba km mimi mbwa yule sijui angekuaje llllooolh na anavyoonyesha ni mshirikina balaaa halafu ana roho mbaya hatariii yani yule kule usa hakumfai ht kidogo aje tu kwa mfuga mbwa tusutane na vgodoro vyetu llooh!nyie misukule yake mwambieni hv MANGE WE MSUNGO HUNA SOMO WEWE....!
His dad wa rich hilo halina ubishi! It is a known fact alikuwa top in town! Kabla hujamdiss ujiulize WHO WAS YOUR DAD AGAIN.?Kasema yeye ni mtafutaji kuanzia 2003 na miss indian ocean ingawa dady yake alikuwa ana mpa kila kity hata kwa hubby wake anaweza tu kukaa asifanye chochote mana ana kila kitu ila yeye ni mchakarikaji hawezi kutulia home
Toenimashauzi ushuziiii! WAKE ZA WATU SI NJE TU WENGI MNAGANGA NJAA TU! Nyie mkiganga njaa aaaah kujituma akiganga mwenzenu ana shida? Nyoooooooo! HII ANGLE TUKIITUMIA INAWAGUSA WATU WENGI MNOOOOOO!Anavyohangaika utafikiri hana mme bora we Natalia umetulia na mumeo mshauri huyo mwenzio
HAHAHAAAAAAA! We humjui mange! Kasoma Arusha, Zimbabwe, USA, UDSM, DUBAI, una lingine? We umesoma wapi?